Mshikaji!

nahitaji binti,umri miaka 40 - 45,alieachika au ambae hajaolewa,awe anajitegemea.hana UKIMWI Wala GONJWA LOLOTE LA KUAMBUKIZA,asiwe sex maniac(sijui kwa kiswahili nisemeje),asiwe mlevi wa chochote.kama unajiona una sifa hizo hapo juu ni PM.
Huyu sio binti bana....! Na hakuna mtu asiye na ulevi wake....! Hivyo, jaribu dunia nyingine....!
 
Waambie hao....! tatizo wao ni vibinti hata service lazima complain, sasa shida juu ya nini? wakati wapo watu wanatoa huduma super bila ooh sijui nimepitiliza siku zangu? kwa hivi vijibinti vya miaka 40+ huwezi sikia hilooo!.

Mhhhhhhhhhhhhh! makubwa nashindwa hakusema, labda huyu jamaa anajua sn kuwa miji mama, ikikushika unashikika, kwani wao huona kuwa mapapmbano na Zoos zenye tswira ya 22+ nikubwa basi hubembeleza sn,
wacha apepewe labda ata lala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom