Mshaurini mtangazaji huyu

I am serious, msahidieni mtangazaji huu!!! Bado ni kijana mdogo ambae bila shaka anahitaji mafanikio kwenye kazi yake, lakini tatizo lake si yeye. Kijana huyo wa makamo, ni mtangazaji wa kituo cha televevisheni cha Mlimani TV, sina hakika kama ni mtangazaji wa redio vile vile. Huyu mheshimiwa anaitwa Nurudini nani sijui lakini inaelekea anaipenda sana kazi yake. Ukimuona kwenye screen ya tv, anavutia tatizo ni kwamba hayupo original. Sio siri, endapo utamsikiliza bila kumuangalia, unaweza kuamini mtangazi aliye hewani ni Marini Hassani wa TBC 1! Kinachonifanya nimuhurumie zaidi, hata pozi zake ni 100% Marini Hassani? Marini Hassani ana pozi zake Fulani za uwekaji wa mkono, huyu bwana nae anafanya hivyo hivyo!!! Hoyaa mshikaji, nahisi unapotoka wangu, stop being a “wanna be!” Kwneye kioo unauzika man, but be yourself!!! Dah, sina hakika endapo ataupata ujumbe huu, lakini anayemfahamu amshauri mshikaji awe yeye kama yeye na si kama Marini Hassani!! Najua hili tatizo wanalo watu wengi, lakini kwa mshikaji naona ni kubwa zaidi; hadi pozi wangu?!

Dogo
Nimeshindwa kusoma font size nadhani ni below 8 hii?? Au na wewe mambo ya kuiga haya?
 
kizuri huigwa kibaya hupotezewa

Kizuri huigwa na kibaya hupotezewa, u are right mwanajamii!! but ktk issue kama hiyo, ni nani anaye-stand in a good possition? yule anayeiga au anayeigwa?! Sizani kama kuna m2 anaweza kumuajiri huyu kijana kv tu anatangaza kama marin, tht's shortcoming mkuu!! bado ni dogo sana huyu jamaa! bado nasimama palepale, kama anataka ku-advance lazima awe yeye kama yeye!! he must be original! kuiga hadi sauti inaonesha how much less creative you are! who such shit employer tht might be interested with less creative person? At least kwa upande wangu, nisingekuwa tayari kumpa ajira mtu ambae sio original!! hebu niambie watangazaji wote wakubwa wa tz unaowafahamu ww wameiga sauti kwa nani!!! they're all original, let's face the fact if wanna move foward mazei!!! Lakini sio issue, ni ushauri tu ingawaje kuna wabovu wa kufikiri wanaodai eti nimetumwa!! loh, si heri ningetumwa nikanunue nyanya kuliko kutumwa kueleza kisicho na ukweli kwa mtu asiye na interest yoyote kwangu!!!!!
 
what is your point, kama ameiga na kaimdu fani it is well and good, after all what is special with Marinn Hassan?
 
H… Healthy, Hopeful, Humble, Humorous, Hummus eater

A … Appreciative, Approachable, Activist for global peace & justice

P … Peaceful, positive, …

P … Passionate, practical, …

Y… Youthful, yummy, …
 
Chuki binafsi,Nurdin is a good guy na ni presenter mzuri,creative,By the way ni mchanga kwenye tasnia hii,Hopely atakuwa kama Marini au zaidi.
 
I am serious, msahidieni mtangazaji huu!!! Bado ni kijana mdogo ambae bila shaka anahitaji mafanikio kwenye kazi yake, lakini tatizo lake si yeye. Kijana huyo wa makamo, ni mtangazaji wa kituo cha televevisheni cha Mlimani TV, sina hakika kama ni mtangazaji wa redio vile vile. Huyu mheshimiwa anaitwa Nurudini nani sijui lakini inaelekea anaipenda sana kazi yake. Ukimuona kwenye screen ya tv, anavutia tatizo ni kwamba hayupo original. Sio siri, endapo utamsikiliza bila kumuangalia, unaweza kuamini mtangazi aliye hewani ni Marini Hassani wa TBC 1! Kinachonifanya nimuhurumie zaidi, hata pozi zake ni 100% Marini Hassani? Marini Hassani ana pozi zake Fulani za uwekaji wa mkono, huyu bwana nae anafanya hivyo hivyo!!! Hoyaa mshikaji, nahisi unapotoka wangu, stop being a "wanna be!" Kwneye kioo unauzika man, but be yourself!!! Dah, sina hakika endapo ataupata ujumbe huu, lakini anayemfahamu amshauri mshikaji awe yeye kama yeye na si kama Marini Hassani!! Najua hili tatizo wanalo watu wengi, lakini kwa mshikaji naona ni kubwa zaidi; hadi pozi wangu?!

Tumsahidie vipi wakati hatumuhoni wala kumjuha?

Kwanza kabisa hakuna secretary wako hapa wa kumpa mtu ujumbe wake kutoka kwako, kwa hiyo umeanza vibaya.Kama televisheni unaijua tafuta contacts zao, waanikie au wapigie simu.

Halafu wewe mwenyewe muandishi uko incoherent, mara tumsaidie mara tatizo lake si yeye, kama tatizo lake si yeye tumsaidie nini sasa?

Halafu umejaza vitu usivyovijua, hujui kama anatangaza kwenye redio, hujui hata jina lake, ebo, sasa wewe unakuja na serious accusations hata mtu mwenyewe huna taarifa zake za kutosha?

Halafu vipi kama akikwambia kazi za utangazaji zinawataka watangazaji wafuate certain conventions, kuanzia dress fulani kwa vipindi fulani mpaka poses.Tunaona watangazaji wa TV mpaka viwanja wanavyostrike poses na kuzungusha mibichwa from angle to angle, there is no originality in that, that shyt is scripted.Ukitaka kufanya kazi yenye originality nenda kawe actor, si mtangazaji wa TV, huyu hayuko pale kuwa original, if anything mtu anaweza kusema watangazaji wa habari wako rather bland and conventional, unles uniambie kuna kitu zaidi katika kipindi chake zaidi ya a typical anchorman.

Hakafu hujatuonyesha nani kamuiga nani, na kwa nini unafikiri hivyo, umejaribu kutuonyesha tu kwamba watangazaji wawili wanafanya kitu kimoja.

Wakiniambia nafanana na Will Smith, nawaambia hapana, Will Smith anafanana na mimi.
 
Na ni kwa nini upoteze utu wako kwa kumuiga mtu mwingine? kwa nini watu wasikuige wewe? huyu mtangazaji anajipotezea utu wake.Atafute stahili yake mwenyewe ya utangazaji
 
Na ni kwa nini upoteze utu wako kwa kumuiga mtu mwingine? kwa nini watu wasikuige wewe? huyu mtangazaji anajipotezea utu wake.Atafute stahili yake mwenyewe ya utangazaji

Mazee stahili unaijua?
 
Kama Marini anatangaza vizuri sana na Nurdin amwigiza vibaya basi hiyo ni issue, lakini kama Nurdin anamwigiza vizuri Marini sioni tatizo lolote hapa. KUMBUKA KUNA WATU DUNIA YETU HIHI WANAISHI KWA KUIGIZA NA WANAHESHIMIKA SANA KWENYE JAMII.
 
Ni kweli jamaa Nurdin anamwiga marin hassan wa tbc
ajirekebishe aje na style yake
 
Sijawahi kumuona wala kumsikiliza huyo kijana mtangazaji wa Tv Mlimani ila nimemuona Marin Hassan. Lakini naungana na mwanzisha thread hii kwamba hili suala la kuwaiga watangazaji wengine ni ujinga! Kuna siku nilikuwa nasikiliza radio fulani nikamsikia mtangazaji nikadhani Ahmed Kipozi lakini baadaye nikaambiwa sio Kipozi ila huyo jamaa huiga sauti ya Kipozi. Nakumbuka hata Kitenge wakati anaanza kutangaza kipindi cha michezo Radio One alikuwa anamuiga sana Aboubakar Liongo na watu wengi wakawa wanamdharau kwa hilo.
 
Chuki binafsi,Nurdin is a good guy na ni presenter mzuri,creative,By the way ni mchanga kwenye tasnia hii,Hopely atakuwa kama Marini au zaidi.

Suala la chuki binafsi, ondoa!!! simfahamu na wala hanifahamu na mbaya zaidi we work in completely different industry!!! so, chuki itoke wapi hapo?! ni creativity gani unayosema ikiwa anaiga sauti ya mtu ambae kila mtu anamjua?! Acha kumpotosha, watu makini wanahitaji original things!!!
 
Kama Marini anatangaza vizuri sana na Nurdin amwigiza vibaya basi hiyo ni issue, lakini kama Nurdin anamwigiza vizuri Marini sioni tatizo lolote hapa. KUMBUKA KUNA WATU DUNIA YETU HIHI WANAISHI KWA KUIGIZA NA WANAHESHIMIKA SANA KWENYE JAMII.[/QUOTE]

ru talking about commedians ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom