Mshaurini huyu superstar

Dogo chafya huyu!badala ya kutaka ushauri atang'oaje watoto wazuri anatuzuga eti anataka kuwa star!!bongo kuna mastar tofauti!mastar wa redio ambao sauti zao ndo maarufu lakini mionekano hawajulikani,kuna mastar sura zao maarufu lakini hawana maajabu kifedha wala kimuonekano mfano bambo,halafu kuna mastar hawakauki kwenye vichupa,mauzo mia na tuzo za kazi zao ni kulala na mabinti wazuri!
mbona leo hujamtaja HEMED PHD?
 
mtafute raisi mstaafu ben mkapa umnase kibao kama yule mh. Rais mstaafu ruksa...
 
Nenda globalpublisher au mtafute shigongo then mwambie ulikula kiboga cha wema sepetu enzi hzo mnasoma sekondari,hakika lazima uwe star ndan ya wiki2.Utaandikwa kwny gazet la Ijumaa,Ijumaa wikenda,Risasi,Uwaz na huku picha yako ikiwa inashine front page na ukurasa wa kati
 
Kusanya watoto wote wa mtaani ambao ni ombaomba watafutie fani mbalimbali wale wakubwa sehemu za kusihi, shule nk. Omba muda pale cluds fm njiapanda tanganza nai ya kuwasaidia huku ukiwa na project makini saana. Hutakuwa superstart tu bali Utaingia kwenye tuzo za dunia kama akina Mahtama na Mandela. jitolee kwa jamii.
 
soma sana kwa bidii ujenge maisha yako,do u think u superstar ni kuigiza?au kuimba?kucheza mpira?hujaeleweka unataka u superstar wa nn?kuna mwanafunzi kaandika mistar ya bongo flavor kwenye mtihan wake wa mwisho kawa star waandishi kibao wamemuhoj na magazeti kibao yameandika habari zake mpaka bungeni kazungumziwa....ili uwe super star unatakiwa usome kwanza mingine yatakuja tu,au ujibidiishe na hicho unachokifahamu,ila kumbuka u superstar una gharama kubwa sana
 
ukimuona Kikwete mnyatie mnyatie halafu mzabue kibao...hakika u'll be both famous n' celeb
 
Zuia msafara wa raisi wakati anaenda kuroga BAGAMOYO.
Nimegundua wote hamjui kushauri:
Mkuu pokea ushauri huu na Msaada nitakupa:
Twende Post pale kwny Sanamu la Askari alieshika Bunduki Vua nguo zote panda juu ukiwa uchi wa myama kunya pale mi nitawaita Wandishi wa habari na Tv waje kukushuhudia nakukupiga mapicha yakutosha na kukurecord siku hiyo hiyo tu utasomeka kwny front line ya kila Gazeti nakuonekana kwenye tv zote hapa Tz, Najua Utapigwa makofi wawili matatu nakupimwa akili yako kama ipo sawa bt lengo lako kuu utakuwa umetimizaaaa... Ama unasemaje Mkuu!!? hutumii nguvu wala hutoki jasho,Ustar utaupata bureeee...Sio kama wengine daily wanahangaika jasho linawatoka mpaka kuupata Ustar wakati njia nyepesi zipo, Yaani kama nakuona vile Star wangu kwny Matv na Magazeti unang'aaa ukikimbiza wajinga wajinga front pages, Tena tumia jina hili: NINYE WAPI!!? Ili jina lako liwe jepesi hata kutamkika kwa Dau mbali mbaliiiiii.....
 
Kusanya watoto wote wa mtaani ambao ni ombaomba watafutie fani mbalimbali wale wakubwa sehemu za kusihi, shule nk. Omba muda pale cluds fm njiapanda tanganza nai ya kuwasaidia huku ukiwa na project makini saana. Hutakuwa superstart tu bali Utaingia kwenye tuzo za dunia kama akina Mahtama na Mandela. jitolee kwa jamii.

kaka nimekusoma ushauri mzuri ila kwa sasa upo nje ya uwezo wangu
 
soma sana kwa bidii ujenge maisha yako,do u think u superstar ni kuigiza?au kuimba?kucheza mpira?hujaeleweka unataka u superstar wa nn?kuna mwanafunzi kaandika mistar ya bongo flavor kwenye mtihan wake wa mwisho kawa star waandishi kibao wamemuhoj na magazeti kibao yameandika habari zake mpaka bungeni kazungumziwa....ili uwe super star unatakiwa usome kwanza mingine yatakuja tu,au ujibidiishe na hicho unachokifahamu,ila kumbuka u superstar una gharama kubwa sana

kaka kuna watu kibao wana maelimu yao lakini ni wa kawaida na wengine hawajasoma lakini ni superstars
 
Nimegundua wote hamjui kushauri:
Mkuu pokea ushauri huu na Msaada nitakupa:
Twende Post pale kwny Sanamu la Askari alieshika Bunduki Vua nguo zote panda juu ukiwa uchi wa myama kunya pale mi nitawaita Wandishi wa habari na Tv waje kukushuhudia nakukupiga mapicha yakutosha na kukurecord siku hiyo hiyo tu utasomeka kwny front line ya kila Gazeti nakuonekana kwenye tv zote hapa Tz, Najua Utapigwa makofi wawili matatu nakupimwa akili yako kama ipo sawa bt lengo lako kuu utakuwa umetimizaaaa... Ama unasemaje Mkuu!!? hutumii nguvu wala hutoki jasho,Ustar utaupata bureeee...Sio kama wengine daily wanahangaika jasho linawatoka mpaka kuupata Ustar wakati njia nyepesi zipo, Yaani kama nakuona vile Star wangu kwny Matv na Magazeti unang'aaa ukikimbiza wajinga wajinga front pages, Tena tumia jina hili: NINYE WAPI!!? Ili jina lako liwe jepesi hata kutamkika kwa Dau mbali mbaliiiiii.....
Hahahah! Bombaaaa la ushauri duh, dogo zingatia hii utang'oa sana watoto wa kishua na madem wa Ifm hapa town.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom