Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,720
Baada ya rais Jakaya Kiwete kufanikiwa kusitisha mgomo wamadaktari, kwanza nini matarajio yetu kama walengwa?
Je atatumia nafasi hii ku-buy time ili kuwasambaratishamadaktari bila kuwafukuza wateule wake?
Je atakuwa makini na kutekeleza makubaliano ingawa serikaliyake naye binafsi mara nyingi si watu wa kuheshimu ahadi zao?
Je ameamua kuingilia ili kuwadhoofisha madaktari hasakuamini kuwa kadri siku zitakavyokwenda watadhoofika kimshikamano?
Je kwanini alingoja hadi watu wasio na hatia wapotezamaisha?
Je ni kwanini serikali yake iliwashitaki madaktari ilhaliikijua kugoma si kosa kisheria?
Je huu ni mwanzo wa mwisho wa mgomo wa madaktari au mwanzowa mgogoro mzito zaidi?
Je unamshauri nini Kikwete hasa wakati huu ambapo ameonyeshakuwa wateule wachache ni bora kuliko maisha ya watanzania?
Nini afanye hili hali iliyotokea isijirudie?