Mshangao! Nimekunywa sparletta yenye ladha ya Fanta Passion

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,744
Imebidi niitazame hii soda mara mbili mbili. Ni kweli imeandikwa sparletta ila ladha yake sio. Ni ladha ya soda nyingine. Hili linawezekanaje wandugu? Si ndio mwanzo wa kulishana visivyohusika? Naomba wahusika wa Coca watueleze hili linawezekanaje.
 
Wapeleke mahakamani wakulipe fidia. Ona wanaojua haki zao kisheria wangelifanya nini! Soma case hii
Donoghue v. Stevenson
[1932]. Utapata hela ya bure
 
Imebidi niitazame hii
soda mara mbili mbili. Ni kweli imeandikwa sparletta ila ladha yake sio.
Ni ladha ya soda nyingine. Hili linawezekanaje wandugu? Si ndio mwanzo
wa kulishana visivyohusika? Naomba wahusika wa Coca watueleze hili
linawezekanaje.

M2 wang co we 2 hata me niliwah pata ladha kama hiyo kweny hiyo soda.
 
Yani nimeinywa hadi nikaimaliza hivyo hivyo. Kibongobongo kupeleka mashitaka kama hayo ni kupoteza muda pia. Nasali tu nisiumwe tumbo
 
Mwezi wa tatu watengenezaji wa maziwa mara na strowbery walishiwa mabox ya strowbery yougut, ilibidi wawe wanatumia mabox yenye nembo ya Maziwa Mara, wakadelete kwa marker pen Maziwa Mara na kuandika Strowbery.

Hii ndo tanzania inayotaka kushindana na kesha kwenye soko la EAC.
 
Packaging imekuwa tatizo kubwa kweli. Unarahisisha just kwa kukata na marker pen? Wabongo watu poa sana. Pia jana nimeona kupitia itv kuwa bonite wamezindua soda za chupa ya plastik. Yawezekana kabisa hawana chupa za kuwatosha ndo maana wakaamua kuchakachua, na sasa wakaona haja ya kuwa na chupa za plastiki.
 
Back
Top Bottom