ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 198
nILIANGALIA MECHI YA JANA YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA ILE KADI YA MCHEZAJI WA YANGA NI SAHIHI
unatoa taarifa au umeamua kuongeza idadi ya post!!!!!!!!nILIANGALIA MECHI YA JANA YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA ILE KADI YA MCHEZAJI WA YANGA NI SAHIHI
vyovyote ...idadi ya post itaongezeka tuunatoa taarifa au umeamua kuongeza idadi ya post!!!!!!!!
Duuh lakini alikitwa kimaukweli mpaka nikaogopa lakini nilipo kumbuka uhuni alitufanyia nakasema niafadhali hata avunjike kabisa bado Twite...Maana na yanga mlimkita Edo nikajua mmekavunja.Nakumbuka kumuona Akrama akimpatia yellow kwanza iliyofuatiwa na red,hiyo inamaanisha pengine Msuva alikuwa na yellow kabla ya kupigwa ile yellow ya 2 iliyosababisha ifuatiwe na nyekundu,mimi sina tatizo sana na adhabu ile tatizo langu ni ile rafu ya Boban ile ilikuwa ya red ya 1 kwa 1 na kibaya zaidi yule Mwamuzi alikuwa eneo lilelile tu lkn bado akili yake ilishindwa kuona adhabu stahili ya kosa lile,kwakweli kwa kitendo kile yule Mwamuzi amenisikitisha sana
Yule dogo alipewa njano baada ya kujiangusha kwenye eneo la penati na yule dogo bila hata staha kwa refa akampiga teke Nyoso pale pale mbele ya refa na refa alikuwa anaona, hivyo refa hakuwa na uamuzi mwingine zaidi ya kumpa straight red kwa kosa la kumpiga Nyoso.Nakumbuka kumuona Akrama akimpatia yellow kwanza iliyofuatiwa na red,hiyo inamaanisha pengine Msuva alikuwa na yellow kabla ya kupigwa ile yellow ya 2 iliyosababisha ifuatiwe na nyekundu,mimi sina tatizo sana na adhabu ile tatizo langu ni ile rafu ya Boban ile ilikuwa ya red ya 1 kwa 1 na kibaya zaidi yule Mwamuzi alikuwa eneo lilelile tu lkn bado akili yake ilishindwa kuona adhabu stahili ya kosa lile,kwakweli kwa kitendo kile yule Mwamuzi amenisikitisha sana
Nakumbuka kumuona Akrama akimpatia yellow kwanza iliyofuatiwa na red,hiyo inamaanisha pengine Msuva alikuwa na yellow kabla ya kupigwa ile yellow ya 2 iliyosababisha ifuatiwe na nyekundu,mimi sina tatizo sana na adhabu ile tatizo langu ni ile rafu ya Boban ile ilikuwa ya red ya 1 kwa 1 na kibaya zaidi yule Mwamuzi alikuwa eneo lilelile tu lkn bado akili yake ilishindwa kuona adhabu stahili ya kosa lile,kwakweli kwa kitendo kile yule Mwamuzi amenisikitisha sana
Kujidondosha ndan ya penalt box ni red card kama mazingira ni udanganyifu tu maana ulikuwa unamuhadaa mwamuzi akupe penati na ampe redcard defender aliyekuwa anakuzuia usipite... Maana sheria inasema anayemchezea rafu mshambuliaji ili kuzuia goal scoring opportunity ni red card.. Sasa kama wewe unadanganya kusababisha mwenzako apewe red card na penalty juu lazima upate adhabu ya red card as kama fundisho
Kwa kosa hilo la Msuva kumpiga mchezaji mwenzake uwanjani:- anastahili kulipa faini sh.500,000 za kitanzania na kukosa mechi tatu mfululizo.Yule dogo alipewa njano baada ya kujiangusha kwenye eneo la penati na yule dogo bila hata staha kwa refa akampiga teke Nyoso pale pale mbele ya refa na refa alikuwa anaona, hivyo refa hakuwa na uamuzi mwingine zaidi ya kumpa straight red kwa kosa la kumpiga Nyoso.
Na kosa la yule mchapa viroba Boban je? Adhabu yake iwe kustaafishwa kabisa kwenye sokaKwa kosa hilo la Msuva kumpiga mchezaji mwenzake uwanjani:- anastahili kulipa faini sh.500,000 za kitanzania na kukosa mechi tatu mfululizo.