Mshahara wangu

sisi tuliookoka huwa tunafuata maagizo yaliyomo ndani ya Methali 3:1-5
5
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote
wala usizitegemee akili zako mwenyewe,
[/FONT]6[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]katika njia zako zote mkiri yeye,
naye atayanyoosha mapito yako.

Dar in mawakala wa Ibilisi kila kona.
[/FONT]
 
sio masanilo alietapeliwa..shem hawezi kutapeliwa na shori mwenye over 45 yrs sidhani kama atakuwa anavutia.........mashori wamekuwa wezi....ile bidhaa yao kitumbua siku hizi havinunuliwi..

Mazee siku hizi hakuna wa kuaminika....nikiwa town shori akiniamkia najua anataka nitabili, hata nikikutana na mzee mitaa ya posta eti ananiuliza Ubungo basi terminal iko wapo, namwambia kapande feri...ubungo iko Kigamboni. Wasanii kibao kila kona......yaani acha tu....wengine anajifanya anashida na simu sijui hana mtandao ama credit, ukimpa anatoka nayo kasi....maisha na utapeli Dar hayana ujanja wakikukuta wasanii....unapanda TAXI kumbe jamaa ndo wale wale wanakufanyizia na kukuacha solemba ! Uomba yasikukute...! Sisi tunao amini Mungu, ni heri tuendelee kujiweka kwenye maombi na Mola atatuepusha daima na nguvu za ibilisi yule.
 
Duh si mchezo alafu mnasema uchawi hakuna.

Mkuu, huwezi jua huenda Masanilo nae ni mtaalamu wa mambo ya anga labda alizidiwa tu na yule mmama! Haya mambo ni kama umeme yanaingia mahali penye uhusiano nayo!.....

Duh, ila pole ndugu yangu Masa, nitafute nikupe japo msimbazi mmoja akusogeze siku moja na nusu, I am serious!
 
Mkuu, huwezi jua huenda Masanilo nae ni mtaalamu wa mambo ya anga labda alizidiwa tu na yule mmama! Haya mambo ni kama umeme yanaingia mahali penye uhusiano nayo!.....Duh, ila pole ndugu yangu Masa, nitafute nikupe japo msimbazi mmoja akusogeze siku moja na nusu, I am serious!

Mkuu Masanilo is a saint, yaani atatangazwa mtakatifu pindi atakapoenda mbinguni! Mazee nitakuona kwenye PM uokoe walau siku moja na nusu!
 
Pole sana Masanilo kwa mkasa uliokukuta, hayo yote ni majaribu ya dunia; Kuyashinda na kuendela mbele ndio maisha yenyewe;Ukifanikiwa kupasi hiyo mitihani ndio Bwana mungu anakuona wewe ni kijana wake na unafaa kuuona ufalme wake.
 
Pole sana ndugu yetu Masa mkasa wako niliupata kupitia chanzo kingine cha mawasiliano kwa jina lingine kumbe ni wewe.Kama walivyo sema wengine huyo hakuwa mtu wa kawida anatumia nguvu za mungu wa dunia hii.
 
Ningependa kukutana na watu kama hao tufanye majaribio ya kisayansi, siamini kama inawezekana, lakini kama inawezekana ni upuuzi kuitumia "sayansi" hii kuwaibia watu "vijisenti" wakati tunaweza kui "patent" na kula kiubua royalties za intellectual property kutokana na mikataba ya mabilioni ya dola kutoka washashi kama Pfizer na Glaxo-Wellcome.
 
Oh Mine..Masa pole sana kwa huyo rafiki yako. Lazima alichanganyikiwa!

Kwani wewe ulikuwa wapi? nilidhani unamlinda, kumbe unamuacha mitaani peke yake LOL! besides pole sana Masanilo, ushauri mzuri umetolewa na jamaa kuwa vema uwe unachukua taxi ni 15,000 tu na unokoa laki 4 zako.
 
Pole sana ndugu yetu Masa mkasa wako niliupata kupitia chanzo kingine cha mawasiliano kwa jina lingine kumbe ni wewe.Kama walivyo sema wengine huyo hakuwa mtu wa kawida anatumia nguvu za mungu wa dunia hii.


Binti Sayuni, kama sikosei, Masa ameleta habari iliyomsibu mtu mwingine na si yeye....... au nimekosea?

Pole kwa binti aliyepata shuruba, nisingesikitika kama hayo yangewakuta akina RA, Chenge na BM wakiwa ndani ya mapipa kwenda dubai kusaini mikataba feki ya madini...

... Sijui kwa nini matajiri wanasepa sana visa vya giza-giza??
 
Kwani wewe ulikuwa wapi? nilidhani unamlinda, kumbe unamuacha mitaani peke yake LOL! besides pole sana Masanilo, ushauri mzuri umetolewa na jamaa kuwa vema uwe unachukua taxi ni 15,000 tu na unokoa laki 4 zako.

Nziku, siyo Masanilo aliyepatwa na dhoruba hili ila ni rafiki yake. Lakini bado ushauri wa kuchukua taxi muhimu kama una pesa nyingi.
 
Duu mkuu ulizidiwa nini??Umemwaga hela kwa mama mwenye 45 years??I cant believe....
 
pole sana ila nakushauri next time utembee na kitabu cha dini i.e biblia kama mkristo au Quran kama ni mwiislamu .. kuna versions hizi ndogo hata kwenye mfuko wa surual inakaa kwa ajili ya kinga kwani ulikutana na mfuasi wa shetani

mnasema kutembea na kitabu cha dini?wapo matapeli watakuambia wanakuombea feza iongezeke na hata aibu hawana wanabeba vitabu vya dini.shetani ana njia kibao tuwe imara jamaa na maombi.

mmesahau DECI? ilisimamiwa na maaskofu misalaba mikubwa kifuani na biblia mkononi lakini bado watu hawakufunuliwa na kujua kinachoendelea.
Yes tumwombe MUNGU na tubebe biblia lakini tutumie zaidi akili na utashi wetu tuliopewa na MUNGU.
 
pole sana ila nakushauri next time utembee na kitabu cha dini i.e biblia kama mkristo au Quran kama ni mwiislamu .. kuna versions hizi ndogo hata kwenye mfuko wa surual inakaa kwa ajili ya kinga kwani ulikutana na mfuasi wa shetani

Na ile revolver yetu ilienda wapi .. ungewatwanga wote

Mkuu samani kwani hapa umeniacha hoi, Nijuavyo mimi Biblia na Qurani si hirizi wala kinga, kuwa navyo mfukoni bila kusoma maandiko yake na ukamuomba aliyevituma vitabu hivyo akupe nguvu ya kuyashinda majaribu kama alivo ahidi ndani ya vitabu hivo haitokusaidia ngo!

Nakushauri tu dawa ya vitabu hivyo hupatikana kwa kuvisoma na maombi juu, si kuviweka mfukoni kwani si hirizi hizo!
 
Back
Top Bottom