OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,518
Yaelekea wewe ni mgeni wa siasa za dunia hii. Hufahamu kuwa kote duniani wanasiasa wanaongoza kwa malipo katika serikali? Ndo maana watu wanaachana na taaluma na kuingia kwenye siasa. Kama ilivyo kwa madaktari bunge nalo ni muhimu katika nafasi yake bila kujali kiwango cha elimu ya wabunge. Kama wana elimu ndogo basi ni mfumo mbovu tulionao wa kuwafikisha hapo.
I do hate generalization saaaanaaa......
1. huko kwengine GDP na Income per capita ikoje?????
2. Inflation rates???
3. Wewe ndo mgeni na topic ya contextualization kumbe????
Mkimaliza kubishana mjiulize........who is our common enemy?????