Mshahara wa Rais wa nini sasa iwapo hadi nguo na mataulo vinanunuliwa na Ikulu?!

nadhani hili ni swali la kuliuliza publicly...
<br />
<br />
Jamani kuweni wazingatiifu kidogo, huyu jamaa ana vinyumba vidogo kibwena huku mitaani. Ukiachana na hilo ana watoto ambao pamoja na wengine kuwa mafisadi wanadai huwa wankwenda kumpiga mizinga, ukiachana na yule mlevi, mnadhani hela ya kulewea anapata wapi! Au mnadhani ni ule unga pekee ndio kilevi chake!
 
Kajiajirije mwenyewe wakati wananchi kimsingi ndiyo waajiri wake kwa sababu wanamchagua (ukiachilia mbali irregularities za chaguzi zetu)?

Yaani mambo mengine yanayoendelea Tanzania kweli ni only in Tanzania!!

Halafu watu wengi wala hawako concerned kabisa na jinsi hela zao zinavyotumika kumlipa mshahara raisi wetu!! SMH!!!

Au mshahara wake unalipwa kutoka kwenye fungu la wafadhili na wahisani?

Duh! hilo la kulipwa na wafadhili kama ni kweli nalo nahisi tunaitaji kujua ni kiasi gani wanamlipa na kwa faida ipi? kwani kaajiriwa na watanzania
 
Kaka hapo kwa PM una uhakika kweli? Manake isije ikawa tu bado haijabumbuluka na yeye....
<br />Hata pm ana nunuliwa mkuu,this is serious. Madai yao eti hawa watu hawatakiwi kufikiri sana kuhusu wavae nini au wale nini,wawe wanafikiri jinsi ya kutuongoza wadanganyika
<br />
 
inawezekana mshahara wake ni mdogo na bajeti ya serikali hairuhusu kununua hayo masuti makali makali ndio maana anajiombeleza si unajua nchi yetu masikini?
 
Kwanza mimi ameshaniboa sana, pamoja na kukarimiwa vyote hivyo kwa fedha ya walipa kodi lakini bado anahongwa SUTI kutoka UAE ili awape eneo la kuwekeza. Je kama angenunuliwa SHELA siku ya harusi ya Bi mdogo ingekuwaje.
 
hivi sisi watanganyika tuna nini jamani mbona vituko haviishi kwa mwaka huu tu mambo ya ajabu yanayoiaibisha nchi yamekuwa mengi mno
1. rais kununuliwa nguo na mfanya biashara hivi huyo alimjuaje rais wetu kuwa size yake ni ipi na alimpatiaje hiyo zawadi wanunuliwazo watu wakati wa valentine- YAANI INAKELA KUWA MTANZANIA
2. Wanyama pori hai wasafirishwa na ndege ya jeshi la nchi ya kigeni - KWELI TUMEFIKA HAPO NCHI yetu iliyokuwa inasifika kuwa na ulinzi wa hali ya juu kiupelelzi tulisha kuwa namba tatu sasa hivi usalama wa taifa wameajiliwa mateja wa unga kazi yao kutoa udenda tu uhalifu unawapita wamesinzia HII ni aibu tena dharau ndege ya jeshi inatua nchini kwetu sasa rada mlionunua ya nini ya kuangalia maandamano ya cdm
3. rais na katibu wake wanashindana kumsimamisha mtumishi huyu anavuta huku na huyu huku mithili ya watalaka wanao gombea mtoto
 
Back
Top Bottom