Mshahara wa Mtumishi wa Umma umeongezeka

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Mwaka 2010/11 mshahara wa mtumishi wa umma uliogezeka kwa 29% na kuna tetesi kuwa hata mwaka huu umeongezeka je wadau kama mmebahatika kuchungulia kunako husika umeongeza kwa kiasi gani? tuandae matumizi
 
Hahaha..we endelea kuongeza matumizi tu mkubwa! pesa ipo...
 
Mwaka 2010/11 mshahara wa mtumishi wa umma uliogezeka kwa 29% na kuna tetesi kuwa hata mwaka huu umeongezeka je wadau kama mmebahatika kuchungulia kunako husika umeongeza kwa kiasi gani? tuandae matumizi
Mkuu Kichwa ngumu tumsubiri mrembo wetu Hawa Ghasia jumatatu. Habari ya tetesi inaweza kuafanya tuanze kuongeza nyumba ndogo kumbe mambo ndivyo sivyo
 
Sidhani kama utaongezeka kwa 40% ila muhimu ni kwamba mkullo alitueleza kwamba utaongezeka. usipoongezeka kwa kiwango cha juu ya 30% ni kutukejeli. Maisha yamepanda tutashindwa hata kupeleka watoto shule za kata.
 
Mkuu Kichwa ngumu tumsubiri mrembo wetu Hawa Ghasia jumatatu. Habari ya tetesi inaweza kuafanya tuanze kuongeza nyumba ndogo kumbe mambo ndivyo sivyo
Kumbe ndivyo mlivyoooooooo!!!!!!!!!!
 
mi mwez huu kama vile kuna increment flani,sijui labda mambo ya kusahau amount iliyokuwa imebaki
 
Hata kama hiyo nyongeza ipo; ukilinganisha na upandaji wa kutisha wa gharama za maisha hilo ongezeko ni kama kukojoa baharini ukidhani waongeza maji; HAMNA KITU HAPO BWANA.....
 
kuna baadhi mishahara yao imekatwa sasa sijui kweli kama wameongeza au wamepunguza lakini maisha yamepanda sana sijui tunaelekea wapi na hii serikali yetu!
 
Suala na kuwa makato linaweza kuwa nafuu. Mbaya zaidi kuna wafanyakazi wamepata mshahara kwa kuchelewa, tena uliopungufu karibu nusu ya take-home ukilinganisha na take-home za mishahara ya miezi kadhaa iliyopita. Hilo ni kama 8, tisa changanya na ugumu wa maisha....mmh!
 
Back
Top Bottom