mshahara wa meneja barrick shillingi ngapi?

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Wakuu najiandaa kufanya negotiation na barrick kwenye mojawapo ya migodi yao, naomba anayefahamu kuhusu masilahi yao kama vile mshahara, na allowances nyingine kwa mwezi kwa level ya managers. Nafahamu ni negotiable, nipe range ambayo naweza kukomaa nao ukizingatia mazingira ya kazi za pale. Kama take home plus allowances haizidi shilingi m3 niambie niache hata kwenda kwenye negotiation.

pamoja sana
 
sawa mkuu naona umeamua kutukoga sisi wenye mishahara mbuzi! wenzio hata tukilipwa milioni moja tu tunashukuru.
 
Wakuu najiandaa kufanya negotiation na barrick kwenye mojawapo ya migodi yao, naomba anayefahamu kuhusu masilahi yao kama vile mshahara, na allowances nyingine kwa mwezi kwa level ya managers. Nafahamu ni negotiable, nipe range ambayo naweza kukomaa nao ukizingatia mazingira ya kazi za pale. Kama take home plus allowances haizidi shilingi m3 niambie niache hata kwenda kwenye negotiation.

pamoja sana

Barrick ni moja ya wachimba madini wanaoiba sana. Unatuuliza humu jamvini ili tukupe mawazo gani wakati kwanza mie sikubaliani na wao kuwepo nchini?
KWENDA ZAKO WEE MTANZANIA MWIZI
 
Wakuu najiandaa kufanya negotiation na barrick kwenye mojawapo ya migodi yao, naomba anayefahamu kuhusu masilahi yao kama vile mshahara, na allowances nyingine kwa mwezi kwa level ya managers. Nafahamu ni negotiable, nipe range ambayo naweza kukomaa nao ukizingatia mazingira ya kazi za pale. Kama take home plus allowances haizidi shilingi m3 niambie niache hata kwenda kwenye negotiation

pamoja sana

Ndugu yangu hz ni kashfa, hautaki kunigotiate ka take home hazidi 3M?, wakati watu wengine wanatafuta kazi hata za laki 2
 
umeneja wa post ipi? gross ya 4.7m ndi base ya managers watanzania..wazungu ni usd 8000 -9000.....
 
Mkuu mwaka jana alikuwepo meneja mkuu(General manager) alikuwa anaitwa Julie Shuttleworth kutoka Austaralia na alikuwa anapokea take home ya milion 200(mia mbili) sijui wa sasa ambaye ametokea CANADA analipwa kiasi gani, ila kiukweli kwa mfano kulikuwepo meneja mtanzania upande wa uchimbaji (mining) pale Buzwagi alikuwa analipwa milion 20(ishilini)japo naye kwa sasa kahama, ila kuzipata hizi nafasi za umeneja pale Barrick ni inshu tena siyo ndogo kutokana na utalaam unaotakiwa na experince kubwa inayotakiwa, sijui wewe una sifa gani mmmmhhhhh!!!!!!
 
Barrick ni moja ya wachimba madini wanaoiba sana. Unatuuliza humu jamvini ili tukupe mawazo gani wakati kwanza mie sikubaliani na wao kuwepo nchini?
KWENDA ZAKO WEE MTANZANIA MWIZI
Barrick hawawezi kuondoka kwa kigezo cha sisi kukataa ajira,tena ndio tutakuwa tunawaraisishia kazi ya kuwaajiri wageni.
 
Barrick ni moja ya wachimba madini wanaoiba sana. Unatuuliza humu jamvini ili tukupe mawazo gani wakati kwanza mie sikubaliani na wao kuwepo nchini?
KWENDA ZAKO WEE MTANZANIA MWIZI

Kwa fikra hizi za kwako, tutaendelea kuibiwa sana. Kwa hiyo tususe na ajira ili waajiri wageni!
 
Back
Top Bottom