Mshahara wa Mbunge wa Tanzania ni shilingi ngapi?

Pamoja na posho dr slaa alisema kipindi alipokuwa mbunge walikuwa wanapata si chini ya milioni 7
 
nilisikiaga kitu kama 12m daa lakini wanaficha sana tusikodolee macho
 
Jamani naomba kufahamishwa juu ya mshahara wa mbunge baada ya makato ni sh.ngapi?

mshahara halisi ni around 2.3 mili, kodi ikikatwa inabaki 1.6 milli. Wabunge wetu wanalipwa fair ukilinganisha na mabunge ya ukanda huu. Kenya kwa mfano, muheshimiwa anapokea laki 8 ya kwao, fanya mara 17 ili upate fedha za kibongo.
 
Back
Top Bottom