Mshahara wa dhambi ni mauti: JK, PINDA, RA, NGELEJA, mko tayari?

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
Kwa jinsi mnavyozidi kugubikwa na dhambi ya uongo mkuu ambao unalenga kuliangamiza taifa letu, basi mkae mkijua ya kuwa hamchezi mbali na malipo ya dhambi hiyo, na mauti yakiwafika ghafla umma wa Tanzania hautalaumiwa. Mshahara wa dhambi ni MAUTI; JK, PINDA, RA, NGELEJA, mko tayari kupokea mshahara wa dhambi mnayotutendea watz?
 
Back
Top Bottom