Mshahara wa daktari (specialist) ni ngapi tanzania,in both private na public?

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
Habari wakuu,naomba nijue mshahara wa daktari bingwa(masters) kwa tanzania ni ngapi in private and public,na kuna channel zozote za kupata kazi?naomba nihabarishwe,asanteni.
 
mkuu kama wewe ni daktari halafu specialist na hauko nchini nakushauri rudi bongo mshahara wa kuanzia ni mdogo ila kuna opportunity nyingi sana kwa specialist here in Tz,usiwe na fikira za kuajiriwa tu fikiria kkujiajiri baada ya muda mfupi,usiaangalie garama za kuanzisha hospitali kuubwa kwa muda mfupi hapana unaanza kazi unatafuta mahali unaanzisha clinic yako hata kwenye eneo la vyumba vitatu tu,si dhani kama utashindwa kulipa pango la milion tatu kwa mwaka kwa kukodi nyumba ya mtu na kufanya clinic unakuwa unatoa basic services kwa kuanzia wateja wako wote wanakuwa ni out patient then later utashangaa mambo yanavyokunyookea unaweza ng'ang'ania mshahara wa M4 majuu kumbe huku kuna M20 unaziacha bila kujua,bongo opportunity nyingi ila wabongo waoga kujaribu na wavivu kuamua wakihofia maisha magumu.
 
Manyusi asante sana kwa ushauri,nitafikiria hicho.Kiber hapo majuu ni bara lipi?unaweza niunganishia?asante.
 
Lakini ninavosikia mshahara wa intern ni laki 6!.. ila babu kama unaweza kufanya sweden nakushauri nenda info zote hizi hapa...
Sweden | Residency Database nina mpango nikanye residency in gastroenterology au anaesthesiology coz i really dont want to go back in medical school kusoma tena miaka 7 ya bachelor of med & surgery inaumiza sana.Ila Issue zikibuma Tanzania itakuwa my final decision nikaanze moja kwenye internship alafu niingie darasani for masters
 
Habari wakuu,naomba nijue mshahara wa daktari bingwa(masters) kwa tanzania ni ngapi in private and public,na kuna channel zozote za kupata kazi?naomba nihabarishwe,asanteni.

Jamani hapa mdau anauliza kwa specialist ni hw much? kwasasa wengi wanaanzia (specialist) wanaanzia 2.5 million.
 
njiwa asante sana.Butterfly,hiyo mshahara 2.5 m ni serikalini au private?kuna jamaa ameniambia mshahara wa specialist haujafika hata milioni.
 
Jamani hapa mdau anauliza kwa specialist ni hw much? kwasasa wengi wanaanzia (specialist) wanaanzia 2.5 million.

kwa kawaida inaanzia laki 9-6million, inategemea na uzoefu, madaraka,nafasi aliyo nayo na wapi yupo
Serikali za mitaa/halmashuri
serikali kuu
Taasisi
Agency za serikali
Faith based organisation
NGO
Proramme/project
Private institution
 
duh,yaani humu JF hakuna daktari bingwa kama memba au visitor ambaye anaweza kujibu swali langu kwa uhakika?kweli sasa na jua bongo madaktari bingwa ni wachache sana.
 
mshahara unatofautiana kutokana na fani aliyobobea(area of specialization) wa wanawake, 1.5m kianzio 2.5m mwenye uzoefu (referal gov hospitals) wengine wanaanza na 1.8m mpaka 3m kulingana na vyeo vyao na mahali walipo, mfano mishahara ya muhimbili inatofautiana na kcmc na bugando, wengi wao hawapendi mikoani na wanapenda part time zaidi kuliko ajira maana wanapata kulingana na idadi ya wagonjwa walio watibu, private hamna fixed scale ni bargaining na umaarufu ndo unaamua
 
Wadau m nimemaliza form 6 mwaka huu, nimepata gpa ya 4.7 pcb. Naomben ushauri kati ya medicine na petroleum chemistry ipi iko poa in term za ajra, mshahara mzuri nk.
 
Back
Top Bottom