Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

Mkudisingo

JF-Expert Member
Mar 26, 2014
421
122
Habar zenu wajumbe,

Naomba kufahamu kwa anayefahamu hawa ma C.O yani Clinical Officers wanalipwa mshahara wa shilingi ngapi kwa mwezi na majukumu yao ni nini hasa?

Nawasilisha.
 
Habari zenu wajumbe, naomba kufahamu kwa anayefahamu hawa ma C.O yani Clinical Offers wanalipwa mshahara wa shilingi ngapi kwa mwez na majukumu yao ni nini hasa?

Nawasilisha.
 
karibia 500 kwa mwezi kama anaanza
majukumu yao ni wasaidizi wa madaktari au equivalent to diploma in medicine hiyo course mkuu, ila kazini ni kama wote madokta koz nchi yetu ina uhaba wa madaktari wenye degree
ni course nzuri sana
 
Clinical officer ni kama diploma ya udaktari.mishahara yao inatofautiana na muda waliokaa kazini..wanafanya kazi kama daktari.
 
habar zenu wajumbe ,naomba kufahamu
kwa anayefahamu hawa ma C.O yani
Clinical Offers wanalipwa mshahara wa
shilingi ngapi kwa mwez na majukumu yao
ni nini hasa ?..
....nawasilisha.
karibia 500 kwa mwezi kama anaanza
majukumu yao ni wasaidizi wa madaktari au equivalent to diploma in medicine hiyo course mkuu, ila kazini ni kama wote madokta koz nchi yetu ina uhaba wa madaktari wenye degree
ni course nzuri sana
 
Wako njema mkuu,kuna jamaa yangu pale kwa Dr.Kilonzo Mwanza Hospital anakunja M1
 
hujapewa barua yenye hayo maelezo wakati unaanza kazi au kuna jambo jingine unalolitafuta? mana nijuavyo mshahara ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa
 
karibia 500 kwa mwezi kama anaanza
majukumu yao ni wasaidizi wa madaktari au equivalent to diploma in medicine hiyo course mkuu, ila kazini ni kama wote madokta koz nchi yetu ina uhaba wa madaktari wenye degree
ni course nzuri sana

mkuu unamaana hiyo miatano ndio mshahara kwa mwez au mimi ndiye sjakupata
 
hujapewa barua yenye hayo maelezo wakati unaanza kazi au kuna jambo jingine unalolitafuta? mana nijuavyo mshahara ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa

kunajambo jingine nalolitafuta mkuu
 
Clinical officer (CO)

Education required
Diploma in Clinical Medicine and Surgery

A clinical officer (CO) is a mid-level practitioner of medicine in East Africa and parts of Southern Africa who is qualified and licensed to perform general medical duties such as diagnosis and treatment of disease and injury, ordering and interpreting medical tests, performing routine medical and surgical procedures, and referring patients to other practitioners.

A clinical officer is an independent practitioner who, like physicians, is trained in the medical model and is licensed to practice the full scope of medicine and provide routine care in general medicine or within a medical specialty such as anesthesia and carry out treatment that is outside the nurses' scope. A clinical officer oversees a health center or a district hospital and is part of the medical team in bigger hospitals where one may head a department or work under a senior clinical officer or a physician.[1][2][3]

Contents
Overview
Scope of practice
Kenya
The Clinical Officers (Training, Registration and Licensing) Act Cap 260
Training
Internship and registration
Advancement
Malawi
Sudan
Tanzania
Uganda
Zambia
Burkina Faso
Ethiopia
Ghana
Liberia
Mozambique
South Africa
International
United States
United Kingdom
China
Fiji
India
Malaysia
See also
References
External links
 
To practice medicine as a clinical officer one requires at least four years of full-time medical training, supervised clinical practice and internship at an accredited medical training institution and hospitals and registration with the relevant medical board in their country. One may then upgrade their qualification to a bachelors degree at the university or, after three years of general medical practice, specialize in a field such as pediatrics, surgery, psychiatry and anesthesia - or get an advanced general qualification in medicine and surgery - by completing an additional one or two years of residency training. There are no pathways (post-basic or post-graduate entry-level conversion programs) for nurses and other health workers hence it takes at least eight years of specialised medical training and experience for a clinical officer to graduate with a post-basic qualification. It should be noted, however, that "clinical officer" in some countries such as Tanzania and Zambia refers to lower-level health workers, comparable to "medical assistants" in Malawi, who have less than three years of training but may upgrade to a similar level by becoming Assistant Medical Officers (AMOs) or Medical Licentiates (MLs).

No significant difference has been demonstrated in studies comparing treatment decisions, patient outcomes, quality of care provided and level of knowledge about diseases between a clinical officer and a medical officer (a non-specialist physician) except in countries where nurses were mistakenly assessed as clinical officers. However, because of the nature of practice, populations served and resources at ones disposal, a clinical officer is less likely to administer expensive treatment, prescribe expensive (but not necessarily better) drugs or engage in futile care.[4]

The success of HIV/AIDS prevention and treatment initiatives in Africa is mostly attributed to use of clinical officers to diagnose the disease and provide comprehensive medical care. Access to emergency obstetric care through greater deployment of the clinical officer is one way of attaining the Millennium Development Goals 4 (reducing child mortality) and 5 (improving maternal health).[5]
 
Clinical officers nnaowajua hamna anechukua chin ya 800k,my mama mfano anakula 1M
 
hivi kwann vijana hawasomi hii mbona m naona iko poa sana kwa wale waliosoma sayanc na wanataka kwenda college nawashauri mkasome hiii
 
Back
Top Bottom