Mshahara wa Assistant Lecturer..

hivi kumbe TA hawana marupurupu mengi eh?kusahisha mitiani je?(ya certficate).kusimamia mitiani hawapewagi visenti kweli?na house allowance je,ivi wanapewaga?

kwa vyuo vingine mfan sua,muccobs,udsm huwa wanapewa bt kwa udom sahau,i used to b there,una karatas 400 za kumark bila incentives,bado assigments,seminar presentation.ndo mana wanafunz wanakuwa shallow(sio competent) coz mwalimu anatoa test 1 assgnmt 1 seminar 1 kwa semester kwishney
 
hivi kumbe TA hawana marupurupu mengi eh?kusahisha mitiani je?(ya certficate).kusimamia mitiani hawapewagi visenti kweli?na house allowance je,ivi wanapewaga?

kwa vyuo vingine mfan sua,muccobs,udsm huwa wanapewa bt kwa udom sahau,i used to b there,una karatas 400 za kumark bila incentives,bado assigments,seminar presentation.ndo mana wanafunz wanakuwa shallow(sio competent) coz mwalimu anatoa test 1 assgnmt 1 seminar 1 kwa semester kwishney,akitoa test mara 2 that means atasahisha scripts 800,more than busy with no incentives,TA weng sana walikimbia kaz udom
 
Mshahara wa Assistant lecturer unategemeana na uzoefu wako. Mimi ni assistant lecturer -public University napata sh. 2,326, 000/= and many other fringe benefits. lakini issue ya fringe benefits inatofautiana, kulingana na policy za chuo. Jiandae kufanya research itakusaidia sana kwani autagusa mshahara wako. Mimi nina miezi kama saba hivi sijagusa mshahara wangu. Ila ukiwa mvivu ndio utaichukia kazi

Acha kudanganya watu wewe hakuna Assistant lecturer wa public university analipwa million mbili! figure alizotoa Mkoba 2011 ndio sahihi kwa 100%
 
Mshahara wa Assistant lecturer ni PUTS 13 hadi PUTS 14 ukiajiriwa upya lazima uitumikie hiyo PUTS 13. PUTS 13 ni kama 1,348.070/= na PUTS 14 ni kama 1,701,070/= na hizo zote ni basic bado makato PUTS13 ukikatwa makato yote unachukua take home kama laki tisa na kitu hivi na PUTS 14 ukikatwa unaondoka na take home kama milionna laki mbili hivi hapo kama hauna mikopo.Hakuna marupurupu mengine mkuu hii ni kazi ya wito si ualimu au hujui Ukitaka rank zingine zipo kama lecturer,senior lecturer,Associate prof and full prof.Kazi njema.
ahsante kwa taarifa mkuu!
 
Habari zenu wakuu wangu! Eti, hivi salary ya Assistant lecturer huwa ni sh.Ngapi? Je,huwa kuna utofauti kwa private universities vs public universities kwa hiyo salary? And what about other fringes? Asanteni wakuu..
wewe unahitaji kuwa assistant lecturer ama tutorial assistant? mishahara ndiyo hiyooo
 
dah sasa hayo magari manavonunua fasta kumbe mikopo eh?

Hizo ni statements za kinafiki na kipashukuna!!!. Kwani kama ni mkopo unataka kumaanisha nini??? Wewe kama ni mwanamke basi ni hasara tupu na bwanaako aandike maumivu, ila kama ni mwanaume nikupe pole tu.
 
Mshahara wa Assistant lecturer ni PUTS 13 hadi PUTS 14 ukiajiriwa upya lazima uitumikie hiyo PUTS 13. PUTS 13 ni kama 1,348.070/= na PUTS 14 ni kama 1,701,070/= na hizo zote ni basic bado makato PUTS13 ukikatwa makato yote unachukua take home kama laki tisa na kitu hivi na PUTS 14 ukikatwa unaondoka na take home kama milionna laki mbili hivi hapo kama hauna mikopo.Hakuna marupurupu mengine mkuu hii ni kazi ya wito si ualimu au hujui Ukitaka rank zingine zipo kama lecturer,senior lecturer,Associate prof and full prof.Kazi njema.

Hapo kwenye red mkuu labda ungesema "Hizo zote ni Gross Salary" Maana ukisema "basic" maanake hujaweka mambo ya allowances. Na kwa hali ya kawaida, basic salary huwa ni 70% ya gross salary.
 
Hizo ni statements za kinafiki na kipashukuna!!!. Kwani kama ni mkopo unataka kumaanisha nini??? Wewe kama ni mwanamke basi ni hasara tupu na bwanaako aandike maumivu, ila kama ni mwanaume nikupe pole tu.

kakugusa nini?
 
Lakini ukiangalia, most organization watu hawalipwi vizuri, ni mikopo na watu kujihangaisha huku na kule. Ukisema kwamba ni kidogo sanaaaaa, sikubaliani na wewe. Kuna watu wamesoma vizuri tu na si assistant lecturer ( or level ya masters) mishahara ni midogo tu.

kumbe ni halali kwa wasomi wengi kuingia katika siasa, kwani sitegemei mtu mwenye elimu kiasi hicho akapata malipo kidogo sana kulinganisha na wanasiasa! Ni halali yao kwani wanafuata masilahi.
 
Baada ya makato ni kama 850000/= hivi. Hata hivyo hicho ni kiwango cha Mwaka 2010/11 kiwango kipya kimeshatolewa na hazina. Private kuna motivation zaidi kama Teaching allowance n. ila na mzigo unapiga kwelikweli

Umeniharibia siku kabisa leo.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Check File @ end of post

PUT 12 =TUTORIAL ASSISTANT=BACHELORS DEGREE
PUT 13 =ASSISTANT LECTURER= MASTERS DEGREE
PUT 14=LECTURER( DR. )=DOCTORATE
PUT 15=SENIOR LECTURER( DR.)=DOCTORATE+PARAMOUNT PUBLISHING+EXPERIENCE
PUT 16= SENIOR LECTURER ( PROF.)= POST DOCTORATE/DOCTORATE+PARAMOUNT PUBLISHING(+++)+ NUMEROUS SABBATICALS+ RECEDING GREY HAIR/

Bottomline

Academic career isn't a walk in the park as most people seem to believe/think/presume. It needs dedication (to your work), ambition(to be the best), patience&sympathy(with students), writing(a lot of that, and you need to be good at it), reading(that too, unless you want to be a T.A. for the rest of your career), etc. The flexible lucrative hours that lecturers get tend to be deceptive to many. They aren't hours to roam about but hours to do research, go through several references for the courses that you are teaching , do consultation(not only to your clients(if you are lucky enough to have any) but also to your students), write, etc.

If you want to get into an academic career, you have to think long and hard before jumping head-first into a rocky stream. You might end up spending 24-25 years( primary to postdoc) of your beautiful short life in school to just to find yourself in your mid-40s, sharing a flat with your research assistant(of identical gender :-( ), driving a 10 yrs old buick, having a bank balance of a college intern, earning a mere 2M per month and supporting an extended family of 20 comprising of people who think you are a billionaire only because your name starts with PROF. ( While the real billionaire is your farmer-cum-businessman sibling who started selling boiled yams at the age of 9 and never went past std.III). To add insult to the injury, the retirement fund is also a joke!!

The upside- if you can be selfish without your guilt conscience haunting you- is, you can get into the academic career for the hours and the security( tenure) that it brings while running your deals on the side. You have to come to terms with being baptized names such as KILAZA, MIYEYU, MZUSHI, WAMADESA, MZINGUAJI &BOYA, though.

All being said, we make our own destiny. At the risk of sounding arrogant, one is always as rich as one desires. Making money is much like playing tennis: If you keep your eyes on the score board( i.e how much money you are making) there's a great chance(99.9%) of loosing the game. You gotta/outta keep your eye on the ball ( i.e whatever it is that you do, make sure you are the best. Focus on giving the best ), the scores will set themselves( to your advantage, if you are playing right). Keep Rocking!!
 
Attachments

  • MISHARA-MIPYA 2011.pdf
    958.1 KB · Views: 464

Lakini hawa wasomi wa kiwango hiki (mpaka Prof) wamekosea nini mpaka walipwe hivi!!! Jitihada zao hazilingani na malipo wanayopata.
 
Mshahara wa Assistant lecturer unategemeana na uzoefu wako. Mimi ni assistant lecturer -public University napata sh. 2,326, 000/= and many other fringe benefits. lakini issue ya fringe benefits inatofautiana, kulingana na policy za chuo. Jiandae kufanya research itakusaidia sana kwani autagusa mshahara wako. Mimi nina miezi kama saba hivi sijagusa mshahara wangu. Ila ukiwa mvivu ndio utaichukia kazi

kumbe ndiyo maana hamfundishi kazi ni kukimbizana na tafiti tu!
 
Curriculum ya university haisemi kufundisha Bali kumuelekeza mwanafunzi. Unaposema hawafundishi, unamaanisha kazi Yao Ni kufundisha tu!!! No. Teaching, Research and Consultancy Ni kazi tatu za msingi Kwa University Lecturer. Tena research na consultancy zinabeba uzito mkubwa zaidi ya teaching. Kiujumla maisha magumu ya Academicians Ni wao wenyewe wanataka maana wanaumizana wao Kwa wao Kwa manufaa ya watawala. Hawana misimamo na malengo yanayofanana kutetea maslahi Yao. Mfano, ukimwambia Dr. Bana anayefaidika na REDET kuwa mshahara wa muhadhiri hautoshi basi kuwe na nguvu ya pamoja kutetea maslahi katu usitegemee kuwa katika kundi moja. Kiujumla MISHAHARA ya wahadhiri Ni dahi haka kwao. Kama kuna mtu anawaza kuingia kwenye kada hii a some sana maelezo ya Anonimuz hapo juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom