Mshahara vipi wafanyakazi wa serikali??

na wale waliosukuma gari ya jairo bado kupata? No wonder mtumishi mmoja wa umma aliniambia nimkopeshe ela kidogo, nikashangaa wakati wao ndo wa kwanza kabla ya sisi sekta binafsi. wavumilie kidogo, ushabiki wao wakiwa huko unawaponza sasa
 
Kwani hawa jamaa bado hawajalipwa tu mshahara wao wa November???
 
Mkuu, mimi ni kati ya wale waliosukuma gari la Jairo, lakini sijaona hata senti tano imeingia kwenye akaunti yangu mpaka tarehe ya leo. Ninaapa sitafanya tena kibarua kisicho na malipo cha kusukuma gari la mwanaume mwingine wakati yeye na familia yake wanashiba siku zote.
 
Inasikitisha sasa mzee kama hujapata mshahara wako hadi leo unaishije? Aisee poleni sana ndugu yangu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom