Mshahara UDSM mpaka leo ni kitendawili.....utawala wako kimya

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Ni masikitiko makubwa kwamba mpaka leo hakuna taarifa ni kwa nini mishahara hapa UDSM main campus hakuna. Wenzetu UDOM, SUA, MU, ARU vipi na ninyi bado????
 
kutesa kwa zamu, usijali mwezi huu mshahara utawahi sector nyingine watakiona cha moto
 
Back
Top Bottom