Kwa watumishi wa umma mshahara tayari tuipongeze serikali kwa hili kujali sikukuu.

unaongopa kwa faida ya nani?
Acha uongo kama hujui kitu sema, halafu ni wajibu wa serikali kulipa mshahara watumishi wake wala halihitaji pongezi
Inawezekana I knnow what I have postedMbona mie bado sijapata? au ni wizara yenu?
Kwa watumishi wa umma mshahara tayari tuipongeze serikali kwa hili kujali sikukuu.
mshahara ni haki ya mtumishi suala la kupongeza halipo hapa acha kutufundisha unyonge mkuu!
Najua ni wajibu kwa mstarabu yeyote kushukuru, mama au mke ni wajibu wake kupika lakini mtu au mtoto mstaarabu husema ahsante sasa sioni kosa langu.