Mshahara ss 2

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
wadau kuna sehemu nimeona tangazo la kazi na wanasema kiwango cha mshahara ni SS 2 . hizo ndiyo sh. ngapi? kwa anayefahamu tafadhari nieleweshe.
 
Acha Roho Mbaya weka kwanza tangazo ili na wengine walione, au weka source ndipo upate majibu.
 
kweli mkuu!weka tangazo!au sema ni wapi!manake Jf ina member hadi serikalini huko!wewe sema ni shirika gani watu tutakumwagia bila fitna.
 
inategemea ni sector gani (afya,madini..nk) mkuu, ila hiyo SS 2 ni ngazi kubwa sana ya mshahara kwa mfano katika sector ya afya rank huanza na A1...Ambayo ni 150,000 - 200,000...sasa ukija rank ya B" unapanda zaidi,katika sector ya afya sidhani kama kuna hiyo rank ya SS 2 na kama ipo sijui atalipwa sh.ngapi kwani mwenye TGSH L" anakula 2.5 - 3 Mil..
 
Acha Roho Mbaya weka kwanza tangazo ili na wengine walione, au weka source ndipo upate majibu.

huyo ameona tangazo la kazi la TIRA. Kwa ngazi aliyoweka ni kazi ya record management assistant grade 2 au driver.
 
Kama hauelewi kwanini usiseme sijuhi alafu ukala kona?mara taja hiki mara kile mara una roho mbaya...cant believe this alafu huyu naye anajiita Gt

Mkuu subiri watakuja wenye uelewa wa hiyo kitu na watakata kiu yako
 
Sema ni wapi ili iwe rahisi watu kukusaidia kwani siri ya nini mskaji au unadhan tutakuzibia? Hakuna atakayekusapoti kama unataja tu kifupi namna ile,acha hizo za kizamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom