Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Jamani wa jf hivi walimu wenye diploma(DSEE) wanaanza na mshiko wa sh. ngapi kw mwezi?

laki na 80 ukishakata kila kitu
ulidhan utalipwa laki 6? Kapige kazi, marupurupu wanafunzi na kuiba chaki kwa ajiri ya tuishen au kuwauzia mafundi cherehani.

Mkubwa mbona kidogo sana! are u sure?

Kama 250000,nina msela wangu anapga hyo kaz na tangu aniambie miaka miwil ishapta so inawe ikawa imeongezeka.
kuanzia laki take home..
Kama 250000,nina msela wangu anapga hyo kaz na tangu aniambie miaka miwil ishapta so inawe ikawa imeongezeka.
Weka maslahi ya taifa mbele na si maslahi binasfi mkuu...Uzalendo kwanza....Maisha ni kujipanga mie nawajua watu wanachukua take home kama 1.2m lakini hana hata kiwanja wala kausafiri ka kutembelea...maisha kombolele butua uwaokoe wenzako
Acha ushamba post ya 2011 we una comment leo
Tusidanganyane kwakuwa wengi humu sio waalimu mim ni mwalimu mishahara iko hivi;
Degreee anaanzia 589000
Diploma anaanzia 377000
certificate anaanzia 295000
Hizo ni bila makato makato mpaka take home zinapungua sana tu