Mshahara ngazi ya stashahada

kuanzia elfu 80 mpaka mil.30 kwa maoni yangu. ni kutokana na kazi, uzoefu, hadhi ya ofsi n.k . Labda ubadili swali lako maana akili za watu ni kama google unavobadili swali ndo majibu yanavobadilika. Weka swali lako vizuri upate jibu sahii.Gudtym.
 
INATEGEMEA NI OFISI GANI,
serikalini na mashirika binafsi yanatofauti,pia viwanda vya wazungu na vya wahindi wana malipo yao tofauti.
 
INATEGEMEA NI OFISI GANI,
serikalini na mashirika binafsi yanatofauti,pia viwanda vya wazungu na vya wahindi wana malipo yao tofauti.

usisahau security firms. Ila akina shaktkapoor wanapenda sana mtu wa elimu hiyo ili wamkandamize
 
kuanzia elfu 80 mpaka mil.30 kwa maoni yangu. ni kutokana na kazi, uzoefu, hadhi ya ofsi n.k . Labda ubadili swali lako maana akili za watu ni kama google unavobadili swali ndo majibu yanavobadilika. Weka swali lako vizuri upate jibu sahii.Gudtym.

Elfu 80 mapka 30million.......mmmh!
 
Siku hizi mishahara ya kibongo inatofautiana pia ki-sekta; ukiwa sekta ya Madini na Afya ukiwa na-stashahada usishangae ukaanza na laki 2.5 adi laki 3, sekta zingine kwakweli kwa stashahada ni utata.
 
Samahanini kwa swali langu kuwa too general, ni diploma ya social science na ni kwenye NGO's i hope sasa nimeeleweka.
 
Tegemea swali lako kutopata jibu sahihi maana halijibiki.
Ni Mtazamp wangu Madata

Thanks ni diploma ya social science na ni kwenye NGO position ni community mobilizer i hope sasa nitapata jibu sahihi.
 
Kwa maisha ya siku hizi kila kitu kimepanda mishahara mbona awaongezei ndio maana ufisadi hauishi,naona serikali ikiongeza mishahara ufisad utapungua kama siyo kuisha.mf.wilaya moja ya CHATO wamechakachua vocha za pembejeo zote watendaji wa vijiji na DALDO,hiyo yote mishahara midogo,naomba mchuguze wilaya hiyo itaendelea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom