Hayo ni lazima wayazingatie kama wanania ya dhati ya kuongeza mshahara vinginevyo ni usanii ule ule tulouzoea!Huo mshahara utakaoongezwa utaweza kweli ku 'offset' effects za mfumuko wa bei?Uongo mtupu na uhadaa wa kiini macho.Watu wana njaa
Leo ni BAJETI ya ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora huku kila mfanyakazi jicho na masikio yao wakielekeza BUNGENI Dodoma
kwa maslahi yao, miezi kadha iliyopita Rais Kikwete aliahidi kuwaongezea mishahara wafanyakazi wake huku akiwa amekaa na viongozi wa TUCTA
na kuwahakikishia kuwa wasahau yote yaliyopita na wagange yajayo jambo ambalo lilifanya TUCTA kumualika Rais wangu Kikwete tofauti na
mwaka jana.
SWALI NI JE WATAONGEZA KAMA WALIVYOKUBALIANA KWA KIWANGO CHA TSH 315000 KWA KIMA CHA CHINI?????
yakipandisha mshahara yanapandisha gharama za maisha haya magamba,bora mshahara usipande na gharama za lyf zibaki palepaleHuuu mwaka wangu wa tatu serikalini lakini bado hata sijapandishiwa mshahara!!!
Ndugu hii 40% umesikia wapi,nipe chazo mkuuAsilimia 40% haitoshi labda waongeze 100%
Just like me! Hakuna jipya hapo, öngezeko ni 9,000/=Mi nategemea kuongezewa sh.18,000 tu kwa kiwango cha mshahara wangu..