Msg toka WWF kupitia Zain --- Muhimu!

LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,473
189
Angalia filamu muhimu ya dakika 30 ya mabadiliko ya hali ya hewa Tanzania leo Dec 7, 2009
Saa 1.30 usiku TBC1 na
Saa 3.00 usiku ITV

WWF Tanzania
 
Tuangaze kidogo kuna mambo gani muhimu ya mabadiliko zaidi ya haya tunayoyashuhudia kila kukicha intesity ya jua inaongezeka kwa saaana??
 
Angalia filamu muhimu ya dakika 30 ya mabadiliko ya hali ya hewa Tanzania leo Dec 7, 2009
Saa 1.30 usiku TBC1 na
Saa 3.00 usiku ITV

WWF Tanzania

Pia mie Zain wamenitumia hii sms ila sijui kuna madudu gani katika World wheather Forecast ya leo
 
Back
Top Bottom