Msg to lover

zayat

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
337
42
A Girl sending msg to her lover>
If you are Sleeping,Send me your Dream.
If you are Crying, Send me your Tears.
If you are Laughing, Send me your Laugh.
THE LOVER REPLY BACK>
I AM IN THE TOILET DO YOU NEED ANY THING
 
wow, na anavyopendwa basi, yani kapewa option ya kuchaguwa kitu chengine
 
Angempigia ili asikie kinachoendelea....praaaaah!!! puuuuuuh, tatatatata.....!!!!!! tena kama ni choo cha uswahilini angesikia na washangiliaji...zzzzzz......!!!!
 
Joke in a joke. Well done both.
 
Angempigia ili asikie kinachoendelea....praaaaah!!! puuuuuuh, tatatatata.....!!!!!! tena kama ni choo cha uswahilini angesikia na washangiliaji...zzzzzz......!!!!

hahahahahhhha du we mkariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii:wink2:
 
Angempigia ili asikie kinachoendelea....praaaaah!!! puuuuuuh, tatatatata.....!!!!!! tena kama ni choo cha uswahilini angesikia na washangiliaji...zzzzzz......!!!!
Mzeelapa siwezi kukwambia umenichekesha kiasi gani! You have real made my day. Jina lako na na ujumbe wako mbali mbali yaani ni maji na mafuta. Thanx
 
@mzeelapa hakyamungu nipo hoi mpk nimeonekana chz nacheka mwenyewe!
 
Angempigia ili asikie kinachoendelea....praaaaah!!! puuuuuuh, tatatatata.....!!!!!! tena kama ni choo cha uswahilini angesikia na washangiliaji...zzzzzz......!!!!

hicho kinaitwa choo cha 'paspot size'
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom