Msemo wa Wanyakusa ili kutomnyima mtu chakula "ifindu mafi" (Chakula ni mavi)

Andindile

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
304
16
Msemo wa ifindu mafi (chakula ni mavi) umesaidia sana kabila la wanyakyusa hasa wanaoishi vijijini kusaidiana sana katika masuala ya chakula. Je kabila lenu wanatumia msemo gani?
Wangindo.......
Wapogolo.....
Wanyiramba.....
 
Back
Top Bottom