Pata pesa tujue tabia yako. . .
Pesa huna,
Nguvu huna,
Hata mkwara!?
Pata pesa tujue tabia yako. . .
Nimeipenda,imekaa mguu sawa!Nguvu kijijini,mjini akili!
classic.Gari linalovutwa haliwezi kuovateki.
Ukitaka demu wa peke yako mwambie mamaako akuzalie.
Wanaiba kura,sembure pesa!
ukiwa mnafiki ujanani...uzeeni utakuwa mchawi.
imeniacha sina mbavuVijambo vingi havimkimbizi mende chooni...