BTW Yusuph Manji ana kituo cha Polisi?KUNA ofisa mwenzetu wa polisi kituo cha Kijitonyama ametumwa na Yuauf Manji amkamate mwanasheria na Mwalimu wa Chuo Kikuu Huria, Kainerugaba Erick Msemakweli, kwa madai kwamba alimuomba rushwa ya Sh Milioni kumi.
Na miye mwenzenu nilisema magazeti ambayo yanakubali kutekeleza amri hiyo ya mahakama yanakuwa ni washirika wa kumpa nguvu Manji ambazo hana. Huwezi kuzuia watu hata kufikiria. Amri za mahakama ambazo zimetolewa kwa ajili ya Manji ni wazi zinashambulia bila kupumzika uhuru wa maoni na uhuru wa habari pamoja na haki za wananchi kupata habari mbalimbali.
Kwani kafanyaje?Hivi na wewe ni mtu wa kuongea mbele ya watu?
Ipo siku Watanzania wataamka na kusema sasa inatosha kwa Dhulumati, sasa inatosha kwa Ufisadi, sasa inatosha kwa Wawekezaji Wezi(katika madini, gesi n.k), sasa inatosha kwa hawa Wahindi Koko kututawala na kuweka mifukoni mwao vyombo vya kutetea haki zetu kama Mahakama n.k. Siku hio ipo inakuja muda si mrefu.
Mungu ibariki Tanzania
Kwani kafanyaje?
Ama na yeye si mtu?
Kama huna sababu huo si utu kabisa!
Wakuu, hii habari msithubutu kuiamini hata kidogo. Chonde chonde wakuu.
uko sahihi, habari hii c ya kweli. kiranja jiangalie!
Na miye mwenzenu nilisema magazeti ambayo yanakubali kutekeleza amri hiyo ya mahakama yanakuwa ni washirika wa kumpa nguvu Manji ambazo hana. Huwezi kuzuia watu hata kufikiria. Amri za mahakama ambazo zimetolewa kwa ajili ya Manji ni wazi zinashambulia bila kupumzika uhuru wa maoni na uhuru wa habari pamoja na haki za wananchi kupata habari mbalimbali.
Hivi na wewe ni mtu wa kuongea mbele ya watu?