Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Hivi Jeykey muda ule wakati tunaongea ulisema ile kitimoto ya juzi ulikapata wapi pale? walikuuzia bei gani rost ndizi? nikumbushe mie ndio naondoka hapa ofisini sasa, weekend njema jamani, and take good care of yourself, ukipigwa kibuti uje utujulishe tukufariji pia.

haya ndo matatizo ya kutumia resource za offisin internet na computer mpka urudi ofisini jtatu

na wewe tafuta yako, ukikosa niPM nitakununulia mpya from JAPAN

msemakweli kajitoa kafara kwa TAIFA lake no matter what will happen to him kumbukumbu na history imejiandika na siku za mbele wajukuu zake wakiishi kwa heshima msijepiga kelele ya kwamba Kuna upendeleo kama ssasa hivyo
wakati mwingine ni ngumu sana kuvumilia kutwa mtanzania kwa mawazo ya watanzania WA Leo kazi ni kubwa

There are currently 647 users browsing this thread. (189 members and 458 guests)
So kipi kinafuata baada ya hapo, kakamatwa tuko kimya tu, tunasikilizia atakachohojiwa. Na tutasubiri mpaka Yesu arudi ili nchi hii ikae kwenye mstari

nA SISI TUNAWEZA KUONA HAYA MAJINA CHINI SIO LAZIMA KUMUONESHA KILA MTU SEE @ THE BOTTOM OF THE THREAD
watu wataotumia mobile wanapata shida kubrowse

wakuu sasa ni saa 11 kasoro na prof ulisema kwenye saa 10 utaleta updates zingine au ndio bongo yetu muda haufuatwi..
Usiwe na papara,jitahidi kuwa na subira mkuu! unachomkomandi Pro. hapo ni nini? au yeye kujitolea kwake ndiyo imekuwa nongwa?
Unajua inamcost kiasigani mpaka unapata data kama hizo? kama unaona anachele kuleta hizo data basi nenda mwenyewe hapo osterbay.

nisamehe mkuu, nilikuelewa vibaya.
Nimekusamehe. Lakini tatizo lako lilikuwa nini hadi ukashindwa kuelewa vibaya vizuri ile ndoto? Kwani kuna tatizo gani hadi ukimbilie kutumia lugha ya kufedhehesha mtu usiyemjua? Kwanini usitumie lugha nzuri tu kama binadamu wa kawaida? Je huu msamaha ulioomba utakusaidiaje kuepuka kurudia matumizi ya lugha ya kejeli kama hujaona haja na nia ya kutumia lugha njema?

Kumbuka kuwa, unaweza kufikisha ujumbe wako vizuri kwa rafiki ama adui hata bila ya kutumia lugha ya matukano. Zingatia hilo lina manufaa siku zote za maisha yako.

Jamani updates vipi kuhusu Mkuu Msemakweli,Prof alisema angetupa update saa 10. Vipi saa 10 si ndiyo hii mkuu hakuna jipya huko? jamaa wamemnyang'anya simu nini?? labda wanamfanyia ndivyo sivyo kwa kumtesa ili wapate zaidi ya hayo aliyowapa?? tujuzeni jamani tunasubiri updates kwa hamu sana!

Jamani updates vipi kuhusu Mkuu Msemakweli,Prof alisema angetupa update saa 10. Vipi saa 10 si ndiyo hii mkuu hakuna jipya huko? jamaa wamemnyang'anya simu nini?? labda wanamfanyia ndivyo sivyo kwa kumtesa ili wapate zaidi ya hayo aliyowapa?? tujuzeni jamani tunasubiri updates kwa hamu sana!

kadakwa tena

:A S 109:Ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooh shit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Let me see where to start

:A S 109:Ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooh shit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Let me see where to start

Start where you are going.................

avatar46850_1.gif

Amekubali kutumika Bila mipango kwa wanasiasa wenye kurushiana makombora katika Kambi mbili za GAMBA...Si mwanaharakati I HATE HIM

unamchukia sawa!!vp alichokiwasilisha kwa jamii nacho unakichukia??

Sikujua kama ROSTAM ana watetezi wengi kiasi hiki humu JF.

Amakweli wazabazabina wengi Tz

Ukisoma comment nyingine unajiuliza tunafanya mzaha au ndiyo upeo wetu wa kufikiri?!!!!!!!!!

NIONAVYO MIE JUU YA MSEMAKWELI
Huyu Msemakweli ni mtu makini (smart) kwa mujibu wa mambo yake na mpangilio yake. Nahisi wengi hawaelewi kwanini aliamua kuweka adharani kile alichotaka kupeleka kwa DPP.

Huyu bwana alijua fika kuwa akimpelekea DPP vielelezo hivyo kimya kimya watamtia mguvuni na waTz hatutakuwa na habari na kinachoendelea hivyo ikabidi aweke "life/safety insuarance" katika jamii kwa kuweka wazi hii taarifa. Jiulize; hata baada ya kuhaidi kwenda kwa DPP mbele ya Camera, bado kakamatwa mchana kweupe na Je angeenda kimya kimya tungemsikia tena?

Alisema ana ushahidi na baadhi kauonyesha na kusisitiza ushaidi mwingine hakuonyesha mbele ya camera lakini atauwakilisha kwa DPP. Uenda hapa ndipo alipoteleza but i think he is smart enough to keep many copies!

JIULIZE:
Kama fedha za walipa kodi zilitumika kuchunguza wezi (KAGODA) na hao wachunguzi wakashindwa kupata wezi ni akina nani; Leo DPP anapelekewa ushahidi wa wezi ni akina nani ( free of charge) anasema yuko busy mpaka wiki ijayo! Je huyo DPP anastahili kuendelea kukalia kiti hicho?

Duh yamekuwa hayo tena? Nilikuwa nimelala ndio naamka sasa niende kazini.

Nadhani jamaa wanamhoji kwa nia njema tu ili awasaidie katika kuipeleleza hiyo kesi. Jukumu la kupeleleza kesi zote za jinai liko mikononi mwa polisi. Kwa hiyo msemakweli anaisaidia polisi kupeleleza na bahati nzuri ana ushahidi atawakabidhi tu na kuwaelekeza wapi alipo kato akamatwe aje aseme vizuri jinsi RA alivyoshiriki. Namuona Msemakweli anakuwa shahidi wa serikali ila siyo mpelelezi.

duuh ndio unaamka sasa ivi kwenda kazini ndugu,ni mlinzi nini?au mtu wa kazi..by the way kazi njema!!

Usiwe na papara,jitahidi kuwa na subira mkuu! unachomkomandi Pro. hapo ni nini? au yeye kujitolea kwake ndiyo imekuwa nongwa?
Unajua inamcost kiasigani mpaka unapata data kama hizo? kama unaona anachele kuleta hizo data basi nenda mwenyewe hapo osterbay.
Unaonyesha mkuu wewe siyo wa dot com. Kweli vijana wa dotcom hawaangalii mazingiria ya kutokea kitu zaidi ya kuangalii kitu chenyewe. Nimefurahi ulivyomjibu huyo kijana na nafikir atakuwa anakomaa sasa kiakili na kuwa na subira.

"jukumu la hawa police ni kulinda raia na mali zao" hapa inakaaje badala ya kuwatafuta hao waliotajwa wanamnang'ania mtoa taarifa!?? Huyu DCI yaelekea kalewa madaraka na kusahau wajibu wake,achilia mbali pande 2 zinazosigana.

duh! serikali hii yote ni corrupt!

This is the most true statement relating to the "character" of the current/previous regime. Problem is the Evil monster of corruption has contaminated the Judiciary with its wicked stench. So where does one go to find JUSTICE? Not all lawyers in TZ are working for fair and true Justice, even they are in the pockets of the few&mighty.

Mungu Ibariki Tanzania.

Back
Top Bottom