Msekwa,Mukama ni mawakala wa umasikini

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Ndugu wanaJF
Tangu wachaguliwe kuwa sekretarieti mpya ya ccm,wamekuwa wakipita sehemu mbalimbali nchini na kujieleza kuwa wao ccm ni chama cha wanyonge,na zaidi sana wanasema chama chao kilikuwa kimetekwa nyara na matajiri
Ni wazi mahubiri yao hayana hoja wala tija maana tabia zao hazifanani na kile wanachohubiri,wao wenyewe wanazunguka mlango wa nyuma na kuwakumbatia hawa matajiri,na watoto wao wanasomeshwa na hawa hawa matajiri
CCm wameshindwa kubuni mkakati wa kuondoa umaskini kwa watanzania,na sasa wamefika mahali wanaona matajiri ndio kikwazo cha wao kuendelea kutawala
ni wazi kuwa haya mahubiri yao yanalenga kuwafukarisha zaidi watanzani
 
Sasa r1 siyo mwana ccm,siyo kiongozi wa uvccm?au yeye siyo fisadi??? Kama ni fisadi mwingine anatofauti gani na rechel??? Jumuisho=ccm ni chama cha mafisadi. hUU NI MFANO MMOJA TU, WAPO WENGI CCM KAMA R1, MSEKWA, MKAMA,NAPE,CHILIGATI, acheni giliba za kisiasa-WATANZANIA TUNAELEWA SISI SI WATOTO WAGODO WA KUGANGANYIWA PIPI/JOJO.
 
Back
Top Bottom