Msekwa - Hatuhitaji Katiba Mpya

Kitu Kizito

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
245
223
Spoka msataafu Pius Msekwa amesema haoni haja wala sababu ya msingi ya Tanzania kuandika Katiba Mpya kwasasa kwani hakuna matukio makubwa ya kisiasa nchini yanayolazimisha kufanya hivyo.

Katika mahojiano maalumu na gazeti la Mwananchi nyumbani kwake Oysterbay, Dar jana, Msekwa alisema hata hivyo anakubaliana na uamuzi wa Rais Kikwete kuruhusu kufanyika kwa mchakato wa Katiba Mpya kwasababu alikuwa na sababu zake.

Soma zaidi Mwananchi Juni 25, 2014
 
Back
Top Bottom