Msekwa atinga Igunga kwa kishindo; Akomba vigogo wa CHADEMA

Hii ni mara ya 8 naona habari za uongo kutoka newsroom, hiyo room ya gazeti la uhuru, habari zenu siwezi wapa mia yangu, nyie ni zero tu.
 
Hapa ndo ccm wametegwa tena na wameikwaa mtego tayari kupitia mkurugenzi bila kutumia akili wanataka kuvunja sheria waliyoweka wenyewe sasa tutaona utamu maana ile ya meya ilikuwa cha mtoto. CCM haijui kuwa cdm wanaakili kuliko wao.

Huu mtego wa madiwani wametegwa wameingia tayari na vurugu za Arusha zitaibuka upya na kwa hasiri kubwa na wajue kuwa watu sasa watakwenda kulipiza kisasi kwa yale waliofanyiwa jan.5. Kila mtu mara hii atafatilia kwa makini sana.
 
''Igunga ina mwenyewe na mwenyew ni RA'' -mh. JK........ ...kwa bahati mbaya RA hagombei tena . .......Hmhmhmhmh................................ No comment
 
Tanzania tunatumia vibaya rasimali nyingi sana ikiwemo umeme eti kuchora mipasho kwenye karatasi zetu na kuita gazeti la uhuru...ni bora tungebadilisha matumizi ya karatasi hizi kupeleka shuleni ili watoto waendelee kuandaliwa ripoti zao za mwaka
 
Source: gazeti la UHURU
Ni lini gazeti la UHURU likawa na habari za maana?

Hata wao wana CCM huwa hawana habari nao..., huwa wanayapenda magazeti mengi ya watu binafsi yenye habari za uhakika kuliko hilo gazeti lisilo na habari za maana!
Poleni sana watu wanaosoma hili Gazeti la uhuru.

I wish lingebadilishwa hata hilo jina UHURU, na kuitwa UPUUZI.
Maana halina habari za kumkomboa mwananchi kutoka ktk haya matatizo ya ufisadi, kuondoa umaskini, etc.
 
Wakuu,
Naskia hata kikwete mwenyewe hasomi gazeti la UHURU. Habari zinasema kwamba anapendelea Nipashe, Tanzania daima, Raia Mwema, MwanaHalisi na Rai. Sasa nyie mnaosoma UHURU hadi leo sijui mnatafuta nini wakati hata mmiliki wake haliamini kwa kulisoma.
 
Kun watu wanaasema uhuru sio gazeti alafu hao hao wanasema chadema ianzishe gazeti na TV yake . Muelewe CDM wakiazisha gazeti litakuwa kama uhuru tu........
 
Source: gazeti la UHURU.

GAZETI LA UHURU HUWA HALINA HABARI ZA MAANA....

Wana CCM wenyewe huwa hawana imani nao, sababu halina habari za maana zaidi kama hizo za Msekwa etc.., wanaCCM hutegemea sana kupata habari saafi na murua toka ktk magazeti mengine..!

I wish hili gazeti la UHURU lingebadilishwa jina na kuitwa UPUUZI....!
 
Kun watu wanaasema uhuru sio gazeti alafu hao hao wanasema chadema ianzishe gazeti na TV yake . Muelewe CDM wakiazisha gazeti litakuwa kama uhuru tu........

Mkuu, CDM hawatakuwa hivyo, ni watu makini na ndiyo maana hata watu makini hapa jamvini na kwengineko nchini huwaunga mkono...,

Angalia gazeti ya TANZANIA DAIMA lilivyo na balance newz ingawa linamilikiwa na Chairman wa CDM!
Taarifa zilzopo ni kwamba Tanzania Daima linapendwa kuliko hilo la Uhuru, hata state house na taasisi nyingine ktk govt, Tanzania Daima linapendwa sana kuliko Uhuru...., hata JK ni mpenzi na msomaji mkubwa wa Tanzania Daima....!
 
Hivi CCM huwa wanalipia haya matangazo kwenye gazeti letu la UMMA?
 
Hii inaonyesha wazi kuwa Mkurugenzi na Madiwani waliofukuzwa kazi wana lao jambo. Kwa nafasi za kisiasa kama Udiwani, ubunge, uwaziri na nadhani hata rais, kwa katiba yetu akipokonywa uanachama wa chama kilichompa ticket nadhani anakuwa kapoteza na nafasi yake serikalini. sasa huyo mkurugenzi ataendeleaje kuwatambua hao?? hembu wanasheria mtusaidie kwenye hili!
Umenichekesha sana sana mie nadhani kwenye siasa hakuna sheria ila kuna maamuzi ya mtu/kikundi fulani kwa manufaa yao..... kumbuka kwenye suala la uraia wa Bashe.........nanukuu "hata kama wao (wizara/waziri ya mambo ya ndani) wameona Bashe ni raia lakini sisi (CCM) tunamuona si raia' - Lt Y Magamba......
 
Hivi Msekwa bado ni mwanasiasa mwenye kishindo cha kusababisha watu kuhama chama?! Heri wamerudi kwa wanafiki wenzao CCM.
 
Back
Top Bottom