msanii wetu

mdaumie

Member
May 12, 2008
77
1
Leo nilikuwa namsikiliza JK.
kuna sehemu amenihuzunisha sana pale nilipomsikia anaimba
JK:"Daraja Daraja Daraja "
hicho kibwagizo kimenionyesha huyu mtu ni Msanii wa bongo flavor ila kakosea njia na kuingia kwenye siasa na ndio maana anaendesha nchi kisanii
 
Namnukuu: "CCM Oye, watu Oyee. Mheshimiwa darajaaaaa, darajaaa, darajaaa! Mimi nikawauliza, daraja kitu gani?..........."

Hehe, Kikwete ana vituko kweli
 
Leo nilikuwa namsikiliza JK.
kuna sehemu amenihuzunisha sana pale nilipomsikia anaimba
JK:"Daraja Daraja Daraja "
hicho kibwagizo kimenionyesha huyu mtu ni Msanii wa bongo flavor ila kakosea njia na kuingia kwenye siasa na ndio maana anaendesha nchi kisanii
Hukusikia na mashaili yake kila anapoimba anatoa na kicheko utadhani 2Pac!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom