Msanii wa bongo fleva anatafutwa kwa kuiba simu gesti

Hebu nichekiii ninavyong'aaaraaa X2 nicheki nipo masaki na watoto wa kishua ,,,nicheki nina mapene kibao,magari na warembo kibao,,,, dah mbwembwe zote hizi kumbe jizi la kisimu cha nokia ya tochi!!

....Napenda sana pombe napenda sana madem napenda sana kujirusha,kifupi ni starehe...masikio nawaka kifuan nang'ara.hehehe majigambo yote yale sahv anapiga show yenye thaman ya nokia tochi
 
Nadhani hajamuibia huyo mdada sababu hajalipwa na promoter., alimuibia sababu hakuwa na hela.. Ni wizi uko damuni tu so asimsingizie promoter..! Kwani promoter alikuwa anamlipa elfu 30 ya hiyo kitochi?
 
Kwani huwa wanalipwa kiasi gani kwenye onyesho kama hilo?

Labda hakulipwa kiasi alichotaka so akaamuwa kujazia na hiyo tochi?

Otherwise kama ni kweli hajalipwa, basi promota akisema ngoma droo atakubali?

Duh!

Ha ha ha ha ha ha jamani mbavuuu zanguuuu lol!
 
Hebu nichekiii ninavyong'aaaraaa X2 nicheki nipo masaki na watoto wa kishua ,,,nicheki nina mapene kibao,magari na warembo kibao,,,, dah mbwembwe zote hizi kumbe jizi la kisimu cha nokia ya tochi!!

tehe!tehe!mbavu zangu!umetisha
 
Kwanii hakuchukua wallet au simu ya promota, ukiwa mhalifu, ujue na kujitetea!, tena vizuri, ili adhabu ikupungukie au anataka na Wakili, teh, teh, teh
 
But huyu staa nasikia ni arosto tu, anayoimba, masifa anayojipa, anayatoa kwenye ndoto alizoota usiku!
 
"...useme kwenu mna benzi wkt jumba la udongo,bwana mdogo unavyokwenda unapelekwa tu kama li-ng'ombe"
gk na ay walikua wanamchuza bwana mdogo.........................
 
Back
Top Bottom