Msanii sumalii afiwa na mama yake mzazi.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu! Kwa habari nilizo pata now ni kuwa Msnii wa bongo flava, Sumalii a.k.a Mzee wa hakunaga amefiwa na mama mzazi hospital ya Taifa mhimbili baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi. Source- Radio cloudz news.
 
Masikini Lee,nampa pole za dhati maana ni kati ya wasanii ninaowakubali. Mungu ampe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Roho ya marehemu ilale mahali pema peponi amen.
 
Ndiyo wakuu! Kwa habari nilizo pata now ni kuwa Msnii wa bongo flava, Sumalii a.k.a Mzee wa hakunaga amefiwa na mama mzazi hospital ya Taifa mhimbili baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi. Source- Radio cloudz news.
wasanii tushirikiane kwa hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom