Msanii "Sam Wa Ukweli " UMEJIAIBISHA

Dec 10, 2011
78
21
Kuna mambo mengine huwa tunayachukulia poa ila yana umuhimu sana wa kuyazingatia. wasanii wetu inabidi wajipange tena sana., Jana ndani ya HotMix show ya EATV walikuwa na msanii anayeitwa sam wa ukweli, ambapo "according to him" ilikuwa ni birthday yake hiyo jana., alipoulizwa kazaliwa mwaka gani akajibu "kati ya mwaka 1985 au 1986".., yeye hana uhakika anayejua vizuri ni mama yake atamuuliza... SERIOUSLYYYY......????? kweli nimeshindwa kumuelewa mtu mzima kama huyu bado anategemea kumuuliza mama yake mwaka aliozaliwa., Tena akisema bila uoga ndani ya live show.siku zote alikuwa wapi.? much or less yeye ni public figure... ni aibu kwa kweli...,
 
Tatizo tukiwaambia ukweli wanaona tunawafuatilia! Ila ki ukweli wasanii wetu bado hawajaweza kuongea kwenye media.Na tatizo kubwa ni shule hawana.inawezekana vipi asijue hata mwaka aliozaliwa.
 
Back
Top Bottom