Msanii Roma Mkatoliki anatumiwa na CHADEMA ktk majukwaa ya burudani kuiponda serikali

Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

Ndugu yangu roles za usanii si unazijua kuburudisha,kuelimisha,...... hivi umesahau kuwa 'sometime you need to be yourself' msanii atasifia magari na suti nzuri wakati hospitalini hakuna dawa,rejea mistari ya mh. sugu enzi zile 'niko mikononi mwa polisi..." tuseme naye alikosea?

Au enzi za wakina 2 pac walivyoponda unyanyasaji wa weusi, au luckydube na issue za ubaguzi wa rangi! umenikumbusha mashairi ya afande sele aliyosema 'unasifia magorofa na ...'wakati kwenu jumba la udongo... sometime you dont need to be too artificial..be yourself ila ukiona unakwazika si ualipotezea onyesho unaenda kusikiliza taarabu manake zenyewe ni mipasho!

JIPANGE!
 
Unatamani Roma atamke ya kwako na asielezee hisia zake, usimpoke uhuru wake wa kujieleza bwana.
yaonekana hata alama ya vidole viwili umeanza kuijua baada ya CHADEMA. Kama ndivyo, basi CDM wapo juu maana mpaka Misri, Tunisia na hata Greece, kote walikuwa wananyoosha vidole viwili
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali. leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.
Hakuna point. MBONA wale wanaoimba mapenze kila siku hujawasema. Kwani burudani ni mapenze??? Msanii anatakiwa kuonesha mazuri na mabaya ktk jamii na kuonesha namna ya kuyatatua
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

Naona umetumwa na Riz1.
 
unamuongeleaje NANCY SUMARI na CCM??
 
kwani alichosema si kweli? kwani kusema ukweli ndiyo unatumiwa na CHADEMA? kwani Kapteni Komba vip huyu hukuwahi kumuona? Roma kavunja sheria ipi mpaka serikali iingilie kati? anawagusa watu kwa kuwa anachosema kipo katikati ya maisha yao.
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.
kama M4C imekubamba nyosha kidole cha mwisho juu
 
chema chajiuza, msanii huwa anaangalia hadhira intaka nn, so anachofanya kama hadhira inapendezwa ni sawa kwa kuwa ni kazi kufurahisha hadhira
 
Mwana Hiphop kutetea wanyonge ni sawa ila kujihusisha kisiasa jukwaani wakati watu wana itikadi mbali mbali ni utoto.
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

Nampongeza sana Roma, nawasihi na vijana wengine wige kwake!
Kwakua vijana na wasanii kama Roma ni chachu ya maendeleo!
Kwahiyo wewe unataka waimbe kuisifu nyinyiyenu ili vijana wamchukie yeye?
 
yaani we zoba kweli kweli. inaonekana hufuatilii kampeni za CCM. Captain Komba wa wenzie akina Juma nature huwa husikii?

Tafiti na fikiri kabla kuandika huku JF.

Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

Mwana Hiphop kutetea wanyonge ni sawa ila kujihusisha kisiasa jukwaani wakati watu wana itikadi mbali mbali ni utoto.

Kama wanaipenda serikali na polisi nini kiliwapelekea hao washabiki hapo kwenye red?
 
Jamani ehh,kuna njia nyingi za kutafuta kula,jamaa amepata pa kuponea si unajua tena bongo,wasanii wamekuwa wengi mpaka fani imekosa dili. Kama hii inamsadia kupata vijihela vya kula basi haina ubaya.
 
Back
Top Bottom