Msanii Roma Mkatoliki anatumiwa na CHADEMA ktk majukwaa ya burudani kuiponda serikali

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.
 
nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa hip pop nakugundua kuwa msanii roma mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
Leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

mr emmy = radio imani = imani tv = boko haram = nk
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.
Orijino Comed, Marlaw, Tip top connection, Dimond e.t.c. wanatumiwa na nani? Uwe unajipa muda angalau dakika moja ya kushirikisha ubongo kabla ya kuweka post yako jamvini.
 
Acha serikali dhaifu ya wahuni wanaoteka na kuua watu iumbuliwe. Just matter of time, 2015 si mbali.
 
Pole kwa kukosa akili!!! ujui siku hizi ukitamka ccm watu wanakasirika?! Bora utaje cdm watu watakuelewa lakini ukisema ccm watu wananuna! Ccm inanuka rusha! UNAONEKANA UNA AKILI YA (MAITI!!!)
 
mbona huku kilombelo mabalozi wa ccm wanapita kila nyumba kuwa wanachama wa ccm wasio na kadi na wenye kadi tukutane shule ya msingi tugawane mahindi ya msaada je? Huku ni sikuatalisha amani kwa watu ambao wenye vyama vingine.
 
Orijino Comed, Marlaw, Tip top connection, Dimond e.t.c. wanatumiwa na nani? Uwe unajipa muda angalau dakika moja ya kushirikisha ubongo kabla ya kuweka post yako jamvini.

hawa hutumiwa na ccm ktk mikutano ya chama nahawafanyi hivyo katika matamasha ya public kama alivyofanya Roma ktk tamasha la Tigo coco beach
 
kunya aje kuku..akinya bata kaharisha!! Wapo wasanii kibaaao wanaisifia serikali na CCM so nenda huko ukaburudishe masaburi yako!! Nyie ndio bado hadi leo hamjaamini kama tupo kwenye multiparty system. Nenda kwa Marlaw, Ze Comedy, TOT nk.
 
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police.......
Huyu dogo kesi yake iliishiaga wapi ya kutumia jina ovyo la rahisi
 
Haya na mm nampa mistari ya Kurap huyo Roma Mkatliki
Ufikapo maeneo ya Victoria hadi Mwenge Utafunikwa soksi nyeusi
Utapelekwa hadi Mabwepande na gari nyeusi
Utavuliwa @@@..mistari inakata
 
Hoja dhaifu,mawazo dhaifu mtakimbia kivuli chenu mpaka lini?ebu tumikie wananchi hizi sarakasi mnazoruka hazitawasaidia
 
Wewe ni wa dunia gani?
Roma ni msanii na kazi kubwa ya sana ni kuelimisha jamii
na yeye kama mtanzania ana haki kutoa maoni kwa anayoyaona
Wanapoimba kina marlaw, Hadija kopa na wengine huwa unaumia hivi???
Acha ujinga wewe
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom