Msanii nimpendae kutoka Afrika Mashariki

DzeFF

Member
Sep 10, 2012
45
3
Je, ni mwanamuziki ama msanii yupi kutoka afrika mashariki unayempenda zaidi? Toa sababu.
 
Mie nampenda msanii aitwaye Jakaya Mrisho Kikwete. Napenda mavazi yake na wimbo wake maarufu wa maisha bora kwa wote. Napenda sinema yake ya Kilimo Kwanza huku nikivutiwa sana na mtindo wake wa matanuzi na kusaka umaarufu misibani. Ni msanii aliyebobea na mjasiriamali hasa nikikumbuka alivyoanzisha miradi kama EPA, Richmond na mingine mengi. Napenda staili yake ya kuigiza ambapo huwahusisha members wa familia yake hasa bi mkubwa. Pia napenda sana mipango yake ya Pwagu na Pwaguzi kuhusiana na hadhira yake. Ana mengi ya kupendwa kwayo.
 
huyo jamaa kipaji anacho kweli. Kuna mwingine aitwaye yoweri museveni ame wahi toa wimbo pia uitwayo u want another rap
 
Mie nampenda msanii aitwaye Jakaya Mrisho Kikwete. Napenda mavazi yake na wimbo wake maarufu wa maisha bora kwa wote. Napenda sinema yake ya Kilimo Kwanza huku nikivutiwa sana na mtindo wake wa matanuzi na kusaka umaarufu misibani. Ni msanii aliyebobea na mjasiriamali hasa nikikumbuka alivyoanzisha miradi kama EPA, Richmond na mingine mengi. Napenda staili yake ya kuigiza ambapo huwahusisha members wa familia yake hasa bi mkubwa. Pia napenda sana mipango yake ya Pwagu na Pwaguzi kuhusiana na hadhira yake. Ana mengi ya kupendwa kwayo.
nimeipenda hii mkuu! sijui tulitokana wapi na ******!!
 
MKW.ERE NI NOUMER ILE KINOUMER cacico. twajuta bibie na miaka ilobaki amalize msimu naona kama imebaki kumi!! Eti "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA" Ptuuu! Khaaaa!
 
Last edited by a moderator:
mie nampenda msanii rosti tamu adimu.....anajua kucheza na refa pia anarafu hata cammera haziwezi kumuona uwanjani......mpishi wa mambo matamu anakula mwenyewe na kuwapaka wengine michuzi na shombo....verse zake ni toleo lijalo kila mara anaweza kutuchagulia na kutupangia maraisi wabunge,,,spika...na watu kama hao bila ya sisi kujua wala kuwazia,....msanii kelikweli karibia mechi kuisha huwa anaomba sub na kumwambia refa amechoka na formation anayochezesha n ya kiuchwara:A S 465:
 
mi nampenda msanii aitwae mzee wa upako ana hit song lake linaitwa watapambana lakini watashindwa..!
 
Msaanii nimpendaye kinana mwimbo wake wa waiter ndovu nyingne bwana naupenda kwel
 
Back
Top Bottom