Msanii gani akipiga show??

Show ya Komba na Hadija Kopa na Asha Baraka siendi!

Wala mechi ya Yanga siendi!
 
mimi nataja ambazo naweza hudhuria sugu,roma, jay,fid q, lakini wasanii wengine pamoja na baba riz sihudhurii labda nipewe benki na meli afu wakimaliza ku perform niwacharaze bakora ishiriniishirini

kwi! kwi! kwi!
 
Show ambayo ninaweza kwenda ni za Taarabu tu.
Kwani napenda Kuwaangalia akina 'Mchicha Mwiba' na Makalio ya Wanawake wenzangu wanapokata nyonga.
Lol!
 
Show ambayo ninaweza kwenda ni za Taarabu tu.
Kwani napenda Kuwaangalia akina 'Mchicha Mwiba' na Makalio ya Wanawake wenzangu wanapokata nyonga.
Lol!

basi mie nawe hatuwezi ishi hata dk 1...
 
Show ambayo ninaweza kwenda ni za Taarabu tu.
Kwani napenda Kuwaangalia akina 'Mchicha Mwiba' na Makalio ya Wanawake wenzangu wanapokata nyonga.
Lol!

Mh, Madame B we noma.
Yaani uangalie wanawake 'wenzako' wakikata nyonga? Is this normal?!
 
nakwenda show za kanga moko tu nyigine zote pamoja na show za simba sports club sikanyagi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom