Msanii fatuma anaomba ufadhili

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Msanii huyu Fatuma wa jijini Mwanza anaomba ufadhili kwa ajili ya kurekodi albam yake ya Audio na Video.
Kwa yeyote mwenye nia njema na Muziki wa Bongo flavor anaombwa kutoa mchango wake kupitia M-PESA kwa namba 0768-855445.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada mtakaoutoa.
 

Picha yake hiyo hapo juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom