Msanii atoa machozi kwa kurushwa kwa picha zake akiwa mtupu!

Hana lolote huyo, hizo picha kazitoa mwenyew hadharan ili awe maaruf hayo maelezo anayoyatoa ni ya uongo mtupu. Sa' we utakubali vp upigwe picha za uch na boy wako, unategemea nn? kwan mumeo huyo? safi sana dada mi nimeipenda **** yako tu!
 
Ebu angalia sura ya huyo kioo cha jamii katika hiyo picha alioanika mambo, utaona kama kalazimishwa hivi? Yaelekea demu hakupenda kupiga hizo snap but jamaa lake likamlazimisha tu... mtazamo
 
Hivi kuachana ni vita jamani? Huyo jamaa hakuwa anampenda
 
Jamani mapenzi mengine nayo,ivi mnakua hamuoni wenzenu wakifanyiziwa na ba B/F zao visa kama hivyo mkasoma au ndio
kupenda kupindukia?
 
Dah Aisee.. Ila Safi Sana Ndo Mkome..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sa we utapigaje picha za utupu..hata km mnapendana,any thing can happen,zinaweza kupotea,rfk wa frank anaweza kuziona,ama hata rfk yko na akakuharibiA..acheni huo upuuzi mapenzi yana mipaka..kuzini ni dhambi na kupga picha za utupu ni dhambi vile vile..sasa vijana tunazini sana lkn bado tu tunapga mpka picha!
sasa labda lengo la kupga picha kama hzo ni nini..hebu mtu anisaidie hapo!
 
Back
Top Bottom