Msanii apiga picha za utupu

Deofm

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
383
68
MREMBO ambaye pia ni msanii wa filamu Bongo, Mary John ‘Maua’ amepiga picha za utupu, kitendo ambacho ni kinyume na maadili ya Kitanzania.
Baadhi ya picha hizo ambazo Ijumaa linazo, zinamuonesha mwanadada huyo akiwa mtupu sehemu ya juu ya mwili wake huku sehemu ya chini akiwa amevaa taiti tu na nyingine akiwa anatunisha matiti yake.
Akizungumza na Ijumaa mmoja wa marafiki wa karibu wa msanii huyo alisema Maua amekuwa na tabia hiyo ya kupiga picha chafu kwa muda mrefu na hata matiti yake ametumia dawa za Kichina.
“Yule mbona anazo picha nyingi za utupu, unashangaa hizo, kuna nyingine ni mbaya kabisa,” alisema mtoa habari huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake.
Katika kufukunyua zaidi, mwandishi wetu alimtafuta Maua na alipopatikana alikiri kuwa hizo picha ni zake lakini alipobanwa kuwa huna anazipiga ili kuwatega mapedeshee alisema:
Ijumaa: Kwa hiyo hizi picha ni zako na umepiga kwa ridhaa yako?
Maua: Nafikiri jibu ushapata.
source: Global Publishers

Maoni yangu: Hawa watu waandaliwe eneo maalumu kwa ajili ya kuonesha maungo yao, kwani wanaamini kuwa yanastahili kuangaliwa na watu wengi lakini hawapewi nafasi. katika nchi nyingi zenye utawala wa kidemokrasia mambo kama hayo ni kawaida tu.
 
maadili ya mtanzania ?

Ifike wakati tuache kufatilia watu au kubandika hii tag ya maadili na utanzania, kila mtu anayo mamlaka ya kufanya kama anavyotaka na kila anachofanya ni yeye individually na wala Utanzania does not come into the equation, nadhani hapo wabaya ni wale wanaozitafuta na kuziangalia.., kama hupendi kuziona ziache na usizitafute (am sure bila scandal / picha kama hizi magazeti kama haya yangekosa soko)
 
maadili ya mtanzania ?

Ifike wakati tuache kufatilia watu au kubandika hii tag ya maadili na utanzania, kila mtu anayo mamlaka ya kufanya kama anavyotaka na kila anachofanya ni yeye individually na wala Utanzania does not come into the equation, nadhani hapo wabaya ni wale wanaozitafuta na kuziangalia.., kama hupendi kuziona ziache na usizitafute (am sure bila scandal / picha kama hizi magazeti kama haya yangekosa soko)

unasema sawa kabisa 100%
 
Wizara ya habari utamaduni na michezo imeoza ndio maana wanayafumbia haya magazeti ya udaku macho.Kwa nchi yenye watu makini kama China huwezi kukuta uozo kama huu,unaopelekea hawa dada zetu wenye akili finyu na waliokosa shule kupiga hizo picha wakijua zitawekwa kurasa za mbele.Tatizo jingine kubwa hawa wanaoitwa wasanii Tz zaidi ya 90%ni mbumbumbu waliokimbia shule wanafikiri ukiwa msanii hutakiwi kuwa msomi,jambo linalowafanya washindwe kuchuja mambo ya utandawazi.Kwao kila kitu kinachofanywa na wazungu ni murua.Tazama hata mikanda wanayoigiza upuuzi mtupu ambao huwezi kutazama na watoto,BASATA nao wapo ktk lindi la usingizi hawazichuji hizo filamu,nadhani wizara na taasisi zake nao ni wapenzi wakubwa wa huu upuuzi ndio maana wamekaa kimya.Muda si mrefu tutakuwa na taifa la wanaudaku na picha za uchi
 
Sasa shingongo kwa nini asianzishe kituo cha ushauri na kuwasaidi watu kama hao badala ya kuwaanika kwenye magazeti.hadi sasa sijaona mchango wa global publishers katika pambana na hili tatizo.
 
kwani alivyopiga aliwagawia watu au watu walimuibia ndio wakawa nazo? Kama hakuwagawia sidhani kama kuna kosa hiyo ni private life yake ya kujipiga picha kwa staili hiyo. Kama aliwagawia hapo kuna tatizo.
 
shame on you gurl..na hakika wewe kweli ni chakubanga baada ya kutafuta njia sahihi za kupambana na maisha your lukin 4 easy roads.
 
Back
Top Bottom