Msangi Alipomwambia Ulimboka Aage

Mungu ana makusudi yake Dr.Uli kuwa hai mpaka sasa.Inasikitisha sana.
 
Wandugu nimemsikiliza Dr mara nyingi zaidi ya mara tano. Nahisi huu ni ushaidi tosha. sasa kova anapeleleza nini? waache kutudanganya watanazania eti wanafanya upelelezi , upelelezi wa nini?
shame on them forever .
 
tumeambiwa hilo swala liko mahakamani na mtuhumiwa ameshakamatwa..hawahitaji ushahidi wa ulimboka maana upelelezi wa polisi ndio wa mwisho na mtuhumiwa ameconfess mwenyewe...hiyo kwa bongo inatosha kabisa
 
Back
Top Bottom