Msamiati Mpya – Ukikwete

AshaDii

Ukikwete - Pretending kila kitu is OK.. and go on with usual routine as if everything is OK... as long as you feel OK - then it is OK

Hahahahaha! I like that one Ashadii
 
AshaDii
Ukikwete - Pretending kila kitu is OK.. and go on with usual routine as if everything is OK... as long as you feel OK - then it is OK

Hahahahaha! I like that one Ashadii

Mimi nimependa zaidi wazo la kusema ni msamiati....lol...
Umeona huwezi qoute mpaka na Avatar?? Inabidi nikwambie
kweli kua nimecheka kwa furaha....lol... huo naona ni Uki-Ngwanakilala
 
Ukikwete- Kujichekeshachekesha *****
Ukikwete- Kupenda safari kama Mtalii
Ukikwete- Kusema uongo na kugawa peremende kwa watoto
 
Hii Kali Mkuu. Aisee unamjua Kikwete kama mama anavyojua mwanae yaani umepatia kweli. Hahahahaha

Ukikwete- Kujichekeshachekesha ******
Ukikwete- Kupenda safari kama Mtalii
Ukikwete- Kusema uongo na kugawa peremende kwa watoto
 
Lugha inakua haraka kweli myaka hii! Ukikwete......ha ha ha ha haaa!!!!
 
lol! yaani hakuna single msamiati wa kumuelezea kikwete banaa! u need a page or two to do that.he is all of the above said and more!
 
Back
Top Bottom