MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Huu msamaha wa kodi ulilenga kwa mtu mmoja au kikundi cha watu, angalia code za product kama waziri alivyoziweka.(ii) Exempt VAT on machines and equipments used in the collection, transportation and processing of milk products. This measure is aimed at promoting investment in the diary sub‐sector and improve the income of livestock keepers. Machines and Equipments which are proposed for exemptions are as follows:
(a) Milk Cans (HS Code.7310.29.90);
(b) Milk Pumps (HS Code no. 8413.81.00);
(c) Milk hoses (HS Code no. 8413.70.20);
(d) Compressor used in refrigerating equipment (HS Code
8414.30.00);
(e) Milk Storage tanks (HS code 7309.00.00);
(f) Milk tankers (HS Code 8716.31.90);
(g) Milk pasteurisers (HS Code 8434.20.00);
(h) Butter churns (HS Code 8434.90.00);
(i) Storage chillers (HS code 8415.81.00);
(j) Cheese presser (HS Code 8434.20.00).
Product code alizoweka ni za kiwanda kinachotengeneza hizo product, kwa maana nyingine ni kuwa waziri alipelekewa quotation ya vifaa naye akavitangaza hivyo hivyo kama quotation aliyopelekewa asemehe VAT bila kupunguza wala kuongeza.
Tatizo litakuja wakati Mtanzania mwingine atakapopeleka quotation yake wizarani ikiwa na items sawasawa na alizotangaza waziri lakini zikiwa na code tofauti kutoka kwa mtengenezaji mwingine. Msamaha wa kodi hautatolewa.
Kama kuna mwenye uzoefu na mawazo tofauti atusaidie, kunusuru wafugaji wasije waikaingia mkenge kwa matarajio ya kupata msamaha wa VAT.