Msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani - vat katika mauzo ya migodi

Tutafika

JF-Expert Member
Nov 4, 2009
1,443
631
Vuta nikuvute ilikuwa kali kati ya kamati ya bunge na wizara ya fedha katika hili swala la kutoa msamaha wa kodi ya VAT katika mauzo ya migodi. Mwisho wa siku mambo mengine yote yaliyoleta utata yalitolewa ufafanuzi na waziri wa fedha pamoja na waziri Mkuu lakini hili hakuna aliesema kitu. Maswali yanayosumbua kichwa ni je, msamaha huo unalenga nini? Je umekubalika au la?


Wadadisi wa mambo ya biashara wanahusianisha hili swala na ushawishi wa kisiasa ambao kampuni kubwa za madini zinao kwa nchi ya Tanzania, kwamba inalenga kukwepa kodi kwa muda halafu baada ya mwaka mmoja au 2 itarudishwa tena. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, Kampuni ya kimataifa ya BARRICK ambayo pia imehusishwa sana na kuhonga vyombo vya habari (ikiwemo Mwananchi), kuhonga wabunge (akiwemo Zitto na January Makamba), pamoja na kugarimia kampeni za chama tawala katika uchaguzi inataka kuuzwa kwa kampuni inayomilikiwa na Serikali ya China. Pia inadaiwa kampuni bado haijauzwa rasmi inasubili kwanza sheria hii ipitishwe.

Kwa habari zaidi za uuzwaji wa kampuni ya BARRICK gazeti la Financial Times linaeleza zaidi.

Nanukuu

[h=1]China Gold in talks to buy African Barrick[/h]By Helen Thomas in London and Jamil Anderlini in Beijing


cedae13f-833c-4e8f-b1cf-c35a27ecd2b9.img

China National Gold, the state-owned miner, is in talks to buy Barrick Gold’s stake in London-listed African Barrick, in a move that could lead to a full takeover and underscores the interest of Chinese miners in acquiring international assets.
Canada’s Barrick confirmed on Thursday that it was in preliminary talks about its 74 per cent holding in African Barrick, prompting an 8 per cent jump in the shares of Tanzania’s largest gold miner to 425.13p.



“Discussions are at an early stage,” Barrick said, adding that there is no certainty the sides will reach a deal. Shares in Barrick, which under its recently appointed chief executive Jamie Sokalsky has pledged a new focus on spending discipline and returns, rose 3.7 per cent to C$35.53.

Barrick has been working with investment bank UBS to consider a sale of its African Barrick stake, according to people familiar with the matter, which would trigger a full takeover offer for the London company under UK rules.

Zijin Mining Group, another state-backed Chinese company which has been seeking a higher profile on the world stage, had expressed an interest in African Barrick, people familiar with the matter told the Financial Times.

But Zijin’s preliminary approach was not considered sufficiently attractive to merit further consideration, they added, and the Canadian group was now talking only to China Gold.

Wu Zhanming, head of the overseas operations department at China Gold, confirmed the talks: “We are in a very preliminary phase of contact and discussion [with Barrick Gold Corporation].”

China Gold, the country’s largest gold producer, focuses on non-ferrous metals including gold, silver, copper and molybdenum and is directly controlled by China’s central government.

Should any party acquire more than 30 per cent of African Barrick, the buyer would have to make an offer for the whole company, under UK rules. If an offer for the company materialises – either from China Gold or another party – a committee of African Barrick’s independent directors would be charged with safeguarding minority owners’ interests.

African Barrick was floated in London by its parent in 2010 at 575p a share. But the miner has since struggled to hit production targets and has been battling power disruptions in Tanzania which have also pushed up costs.

With about 17m in reserves, the sheer size of Barrick’s resource base could be appealing to possible buyers, as could the miner’s sizeable position in Tanzania to other African miners seeking diversification.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom