Msalia mtume inamaanisha nini jamani??

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,002
Sipendi kupinga unachoamini mwenzangu ila ninachojua
waa mini mtume saw..linapokuja swala la msalia mtume najiliza utamsaliaje mungu jamani
wakati sisi ndio tunatakiwa kumwomba atuombee
naomba msaada
 
Sipendi kupinga unachoamini mwenzangu ila ninachojua
waa mini mtume saw..linapokuja swala la msalia mtume najiliza utamsaliaje mungu jamani
wakati sisi ndio tunatakiwa kumwomba atuombee
naomba msaada

Mtume sio Mungu. Usichanganye hivyo vitu viwili tofauti, Mtume ni binaadam kama wewe na mimi na Mungu ni:

Quran: 112: 1-4

بسم الله الرحمن الرحيم

112_1.png

112_2.png

112_3.png

112_4.png

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

Hakuzaa wala hakuzaliwa.

Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom