Msako wa uamsho..... Sasa mpaka facebook

Gene

Senior Member
May 2, 2012
192
33
MSAKO MPAKA KWENYE
FACEBOOK

Kwataarifa tulizozipata kuwa
jeshi la polisi limeanza msako
kupitia mitandao ya jamii
hususan Facebook.
Kupitia Makao Makuu yao ya
Polisi wameweka watu maalum wanaoshulikia mitandao
ilikuona vipi watu
wanavoshajihishana kupitia
mitandao ya kijamii.ili waweze
kudhibiti yasije yakatokea
kama ya Misri kwani mitandao ndio iliosaidia kufanya
mapandizu katika nchi hizo za
KASAKAZINI mwa Afirca.
Kwa kuthibitisha hilo page yetu
kwa muda wasiku 5 hivi ilikuwa
imefungwa siwezi kufanya lolote na siwezi kutuma taarifa
yoyote.

Walizaribu kutaka kuiblock ila
kutokana page hii inaendeshwa
na wataalamu walobobea
katika fani hii hilo limeshindikana na mtego wao
leo tuliunasa.
Ila tunawatahadharisha
wazanzibar wote usi accept
mtu ambae humjui kwani sasa
wameanza kufanya operesion hiyo ya kujifanya friend na mtu
halafu waweze kumtia
mikononi.
Wanaowataka hasa wale
ambao wanaweka post ambazo
zinaelezea zanzibar tupate uhuru na zile post za kuwaunga
Uamsho. Tunatakiwa tuwemakini.
TUACHIWEE..........TUPUMUWEEE..

Source: Facebook page yao
 
Kuna uamsho JF?? kama yupo ajisalimishe mara moja.

Ha ha haaa mkuu mimi hapa na facebook pia nipo tena nimeweka data zangu zote na ninachojisikia kuandika hufanya hivyo bila kuogopa. Na siku zote wanapopelekwa Mahakamani MASHEIKH wetu ni miongoni mwa watu wa mwanzo kufika. Hata hile picha ya masheikhe walionyolewa ndevu ambayo Magazeti yote walítumia niliipiga mimi. Na kikubwa zaidi memba wote wa JF kutoka Zanzibar ni Wana UAMSHO. Inshort 85% ya Vijana wa Kizanzibari ni UAMSHO.
 
Hapo ulipo ni Mchambawima au Jalalabad?
 
kweli ww mbishi, ndo hao maafande wanakushuhulikia hivyo km kwenye avatar?
 
Ha ha haaa mkuu mimi hapa na facebook pia nipo tena nimeweka data zangu zote na ninachojisikia kuandika hufanya hivyo bila kuogopa. Na siku zote wanapopelekwa Mahakamani MASHEIKH wetu ni miongoni mwa watu wa mwanzo kufika. Hata hile picha ya masheikhe walionyolewa ndevu ambayo Magazeti yote walítumia niliipiga mimi. Na kikubwa zaidi memba wote wa JF kutoka Zanzibar ni Wana UAMSHO. Inshort 85% ya Vijana wa Kizanzibari ni UAMSHO.
Na huo utafiti ulifanya lini?
 
Sasa hiyo facebook wanayotumia mbna inamilikiwa na kafiri zuckerberg.. Kweli madrasa mbaya na inaathari kubwa kwa hawa jamaa.. Nasema hivi kikijitokeza chama kitakacho kataza ilmu ya madrasa mm nitakisapoti kwa nguvu zoooote
 
Kweli Mkuu hawa UAMSHO Vigeugeu......! Wanatumia vingi vya MAKAFIRI
e.g Mkuu wa Meza,Mvinyo etc. Kaaaaaz kwel!
 
Back
Top Bottom