Msajili wa Vyama vya Siasa akemea Tamko la CHADEMA

Huyu siyo msajili ni katibu mwenezi na uhamasishaji wa CCM. Kama angekuwa kweli anatimiza wajibu wake angetoa tamko la kukemea uamzi wa polisi na rais kuzuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa ambayo yanaruhusiwa kikatiba. Wakati wapinzani wanapigwa marufuku kufanya mikutano, CCM wanafanya anavyotaka. Huko amekaa kimya matokeo yake anaibuka kuwa msemaji wa ikulu kwa kujidai kufafanua hotuba ya rais iliyokuwa inapiga mafuku mikutano. Anajidhalilisha! Bora angekaa kimya kama alikuwa ameamua kuipendelea CCM. Hivi kunatofauti gani kati yake na Nape na Sendeka?!
 
Mkuu wakati mikutano ikipigwa marufuku yeye alikuwa busy akizungumza 'kama msemaji wa serikali'. Hakuona vifungu vya sharia

Leo anasema uchochezi, hivi kutangaza mikutano kwa chama cha siasa ni uchochezi?

Halafu kwenye barua anasema, vyama viepuke kuchonganisha umma na serikali. Yaani tayari ameshaju kitazungumzwa nini.

Kauli hiyo ni kama 'mseamji wa serikali' yeye si msemaji wa serikali ni msajili wa vyama. Hana sababu zozote za kuingilia shughuli za taasisi nyingine

Kama hatutakuwa na katiba mpya ya wananchi, haya yataendelea kila siku

Vituko nchi hii haviishi
Tabia za huyu mtu zinanifanya nijiulize huyu ni jaji profeshenali au ni jaji kwa jina tu kama ilivyo kwa Jenerali Ulimwengu? kwamba kwa Ulimwengu, Jenerali ni jina tu sio cheo cha kijeshi kama ilivyo pia kwa jina lake la pili "Ulimwengu" kuwa ni jina tu sio kuwa yeye ni kweli ndiye ulimwengu tuiishimo. Maana yule wa kwanza tulisikia akiitwa jaji Liundi baadaye tukaambia sio jaji kitaaluma bali jina tu. Na wasiwasi na huyu naye ni mmoja wako.
 
Huyu siyo msajili ni katibu mwenezi na uhamasishaji wa CCM. Kama angekuwa kweli anatimiza wajibu wake angetoa tamko la kukemea uamzi wa polisi na rais kuzuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa ambayo yanaruhusiwa kikatiba. Wakati wapinzani wanapigwa marufuku kufanya mikutano, CCM wanafanya anavyotaka. Huko amekaa kimya matokeo yake anaibuka kuwa msemaji wa ikulu kwa kujidai kufafanua hotuba ya rais iliyokuwa inapiga mafuku mikutano. Anajidhalilisha! Bora angekaa kimya kama alikuwa ameamua kuipendelea CCM. Hivi kunatofauti gani kati yake na Nape na Sendeka?!
kama tume ya uchaguzi inarudisha hela
bunge linarudisha hela
mahakama inahongwa
yote kujipendekeza kwa executive. ..
unategemea nini
hapa SULUHISHO ni katiba ya WARIOBA tu...ingawa hata yeye warioba hawezi kuitetea hiyo katiba kwa sasa
 
Thursday, July 28, 2016
JPM kuhutubia mkutano wa hadhara Jumapili. Hii ni kwa mujibu wa Mwananchi jana. lengo la mkutano ni kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura nyingi. Je hii si siasa? Mbona wapinzani wake walikatazwa kufanya hicho ambacho yeye anataka kufanya jumapili? Jamani tusiliingize taifa letu pabaya bure. Tunangoja tamko la Polisi na Msajili wa vyama vya siasa katika hili tupime standard
Lowasa naye akitangaza mkutano kushukuru wapiga kura policcm wataingilia kati kuzuia
 
Kumekuwa na mjadala mrefu humu jamvini kuhusu Tamko la CHADEMA la UKUTA. Msajili analo hili la kuwatahadhalisha vionyozi wa CHADEMA.

Naamini Watanzania wengi wanapenda amani. Vongozi wa CHADEMA mnataka kuipeleka Tanzania pabaya kwa tamaa na ulafi wa kushika Dola ili mweke mikono yenu kwa utajiri na rasilimali za nchi hii. Kamwe hamtapata, mtaishia operesheni, mikutano na maandamano yasiyo na tija.
 
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja, Magufuli hakukataza hiyo mikutano ya kisiasa ila alicho kataza ni mikutano ya siasa yenye lengo ya kumkwamisha katika kazi zake ambayo ni mikutano yenye lengo la kuchochea chuki kwa serikali na kuleta vurugu kwa wananchi, kwa mfano kabla hata ccm hawajaenda kwenye kikao cha uchaguzi wa m/kiti, bavicha walifanya kikao mbona hawakuzuiwa...viongozi wa chadema walikutana arusha wakafanya kikao mbona hakikuzuiwa,nccr waliafanya mkutano mbona haukuzuiwa...chadema walifanya mikutano miwili dar mbona haijazuiliwa....na huo mkutano waliofanya juzi kwakutoa hayo matamko mbona haukuzuiliwa??? haikuzuiliwa kwasababu haikua na uchochezi wowote,na viakao hvyo Magufuli hana shida navyo......ila hvyo vikao vya kuandamana nchi nzima...mihadhara nchi nzima for what???? Watz tunakazi nyingi za kufanya hatuwezi kilasiku siasa siasa,uchaguzi ushafanyika tusubir 2020, chadema wafanye siasa za kutekelez majukumu yao kwa wananchi ili wananchi washawishike kuwachagua kwa wingi 2020 na sio siasa za maandamano na vurugu zisizo na kichwa wala tija kwa taifa na wananchi wake.... NB: ikitokea wakafanya hayo wanayotaka kufanya basi tutaona yana maana kama tamuona mke wa lowasa pale mbele kwenye maandamano,nimuone lowasa mwenyewe,nimuone mbowe na mkewe na watoto wake na ndugu zake na wadogo zake na sio wafanye hayo wanayotaka kufanya kwa kuwatanguliza madereva wa boda boda na vijana wachache baada ya kuwadanganya na viroba.....NI MTAZAMO TU MSIJENGE CHUKI
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Raisi wetu...Mungu wabariki wa Tanzania.
 
We Bure kabisa. Kwani hilo katazo lilitolewa kwa lugha gani mpaka wewe uelewe tofauti na wengine wote? Hivi yale mahafari ya CHASO pale dodoma yalikuwa ya uchochezi? Acha kupenda kupindukia ruhusu akili yako kutafakari

Utabaki na siasa za mtandaoni tu. Mwenye mawazo kama yako nimemshauri:
1) Mkusanyike vijiweni kuanza maandamano kupinga mnachoona ni kuvunja Katiba kwa Rais au udikteta! wake

LAKINI

2) Halali ni kwenda mahakamani kudai haki au kumshitaki anayevunja Katiba ya JMT.
 
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja, Magufuli hakukataza hiyo mikutano ya kisiasa ila alicho kataza ni mikutano ya siasa yenye lengo ya kumkwamisha katika kazi zake ambayo ni mikutano yenye lengo la kuchochea chuki kwa serikali na kuleta vurugu kwa wananchi, kwa mfano kabla hata ccm hawajaenda kwenye kikao cha uchaguzi wa m/kiti, bavicha walifanya kikao mbona hawakuzuiwa...viongozi wa chadema walikutana arusha wakafanya kikao mbona hakikuzuiwa,nccr waliafanya mkutano mbona haukuzuiwa...chadema walifanya mikutano miwili dar mbona haijazuiliwa....na huo mkutano waliofanya juzi kwakutoa hayo matamko mbona haukuzuiliwa??? haikuzuiliwa kwasababu haikua na uchochezi wowote,na viakao hvyo Magufuli hana shida navyo......ila hvyo vikao vya kuandamana nchi nzima...mihadhara nchi nzima for what???? Watz tunakazi nyingi za kufanya hatuwezi kilasiku siasa siasa,uchaguzi ushafanyika tusubir 2020, chadema wafanye siasa za kutekelez majukumu yao kwa wananchi ili wananchi washawishike kuwachagua kwa wingi 2020 na sio siasa za maandamano na vurugu zisizo na kichwa wala tija kwa taifa na wananchi wake.... NB: ikitokea wakafanya hayo wanayotaka kufanya basi tutaona yana maana kama tamuona mke wa lowasa pale mbele kwenye maandamano,nimuone lowasa mwenyewe,nimuone mbowe na mkewe na watoto wake na ndugu zake na wadogo zake na sio wafanye hayo wanayotaka kufanya kwa kuwatanguliza madereva wa boda boda na vijana wachache baada ya kuwadanganya na viroba.....NI MTAZAMO TU MSIJENGE CHUKI
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Raisi wetu...Mungu wabariki wa Tanzania.
Mbona unabwabwaja Majaliwa Kingwangwala Nchemba Nape wao wanafanya mikutano ya wazi na wananchi wao kwa kujimwaga ila wa chadema wakutane na wananchi ndani zinakutosha kweli wewe
 
Mbona wanaccm wakitoa matamko yanayozuia demokrasia msajili huwa hatoi Tamko?
Yaani nina udhika kwa Msajili tukoona kauli, matamko au vitendo vinavyo fanya na CCM an Serikali/ Rais?????????!!!! Hapa nakandamiza herufi kuchapa maneno haya kwa gadhabu sana kwa kweli. Uko wapi weledi na usimamizi wa sheria? Uko wapi usawa na tafsiri ya sheria kwa msajiri? Kwa nini Msajili anaona na kusikia kisha kutolea matamko ya upande mmoja?? Mmesomea nini vichwani mwenu..... mamlaka hizi haziwezi hata kujiuliza kwamba kuna watu wataona hawatendi haki? Be balance you guys heeh!
 
Tangazo lenyewe ni kama la chama A. Hakuna nembo, aliye toa tamko, kwa nini baadhi ya taarifa zionekane kufichwa? Ili watu walizungumzie ??? crap!
 
Hilo tamko halijainisha vifungu vya majukumu na haki za vyama vya kisiasa kwa mujibu wa sheria. Ni dhahiri kwamba halijitoshelezi.
 
Sijawahi kuona ofisi hovyo kama hii, eti tangazo la serikali namba 215 la mwaka 2017!!!. Hii inaonyeshwa alivyokurupushwa na Sendeka atoe tamko
haaaa haaaa....
mkuu nmekulewa saana
 
Yaani nina udhika kwa Msajili tukoona kauli, matamko au vitendo vinavyo fanya na CCM an Serikali/ Rais?????????!!!! Hapa nakandamiza herufi kuchapa maneno haya kwa gadhabu sana kwa kweli. Uko wapi weledi na usimamizi wa sheria? Uko wapi usawa na tafsiri ya sheria kwa msajiri? Kwa nini Msajili anaona na kusikia kisha kutolea matamko ya upande mmoja?? Mmesomea nini vichwani mwenu..... mamlaka hizi haziwezi hata kujiuliza kwamba kuna watu wataona hawatendi haki? Be balance you guys heeh!
Never trust a poor people with hungry stomach
 
Back
Top Bottom